Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wanigeria wana grammar nzuri tatizo ni mother tongue yao ni nzito sana lakini wanaeleweka.Vipi kuhusu maprof wa Kihindi wanavyo ongea
Vipi wa Kinaijeria
Kweli Bongo nyoso tembea muone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanigeria wana grammar nzuri tatizo ni mother tongue yao ni nzito sana lakini wanaeleweka.Vipi kuhusu maprof wa Kihindi wanavyo ongea
Vipi wa Kinaijeria
Kweli Bongo nyoso tembea muone
Uliowataja changamoto kwao ni lafudhi au matumizi ya kiingereza cha ukanda.Lakini wanaongea kiingereza kizuri kwa minajili ya kuwasiliana vema.Vipi kuhusu maprof wa Kihindi wanavyo ongea
Vipi wa Kinaijeria
Kweli Bongo nyoso tembea muone
Hii teknolojia ikigunduliwa itapata wateja wengi sana...hizi ndio tafiti zenye tija😁Basi atumie hesabu yake atengeneze kifaa awe anakiweka mdomoni wakati wa kuongea kibadili yai la kienyeji litoke yai la kidhungu.
Labda walimuhurumia tu.Na alidefend thesis yake mbele ya maprofesa huko Canada na walimuelewa kabisa na English yake ya ze comedy!
Wakifiria amesomeshwa kwa pesa za wakulima kutoka third world country au lile jina alilotamka Trump.Labda walimuhurumia tu.
Hiko kigugumizi kipo akiongea kiswahili pia?Kwahiyo mtu mwenye kigugumizi hapaswi kuwa PhD holder?
Kwa majirani zetu Kenya, Uganda, Zambia na Rwanda itakuwa ilikuja na ndege.Wenyewe wanasema hyo lugha ilikuja na majahazi
mfumo wa elimu wa Tanzania na majirani zake NI tofauti.Kwa majirani zetu Kenya, Uganda, Zambia na Rwanda itakuwa ilikuja na ndege.
Sasa kuliko kuendelea kuwa kituko ni vizuri tuamue kusuka au kunyoa. Kama ni Kiswahili iwe hivyo kuanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu kama ni Kingereza iwe hivyo pia.mfumo wa elimu wa Tanzania na majirani zake NI tofauti.
NI kuulize swali unawaona watoto wa English medium wanavyopiga ngeri?
kiingereza ni lugha Kama lugha nyingine zinahitaji mazoezini kuongea.
Ndo maana Mimi nalaani Sana mfumo wa kufundisha kwa KISwahili shule za msingi za serikali alafu mtoto akienda secondary anaanza kiingereza.
Bora iwe hivyo.Sasa kuliko kuendelea kuwa kituko ni vizuri tuamue kusuka au kunyoa. Kama ni Kiswahili iwe hivyo kuanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu kama ni Kingereza iwe hivyo pia.
Bado hana kitu. Alisoma Canada lakini hakuelewa.Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.
Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.
Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
Wewe tayari umejikubali kuwa ni mjingamimi huwezi kuwa mtu sahihi kuchangia mjadala huu. Ndiyo maana hata watoto wa kindergarten wanakushindaBora iwe hivyo.
Ujue mtoto Ana uwezo mkubwa Sana wa kushika vitu.lakini akishakuwa hauwezi Tena kumshikisha vitu.
Mimi naendaga beach nakutana na watoto wanapiga ngeri mpaka naona aibu..maana ananishinda.
KISwahili iwe lugha ya taifa lakini lugha ya kufundishia iwe kiingereza mwanzo mwisho.kiswahili kibaki ni somo moja wapo.
denooJWabongo mnachekesha, wengi wenu bado mnakasumba ya kizamani kwamba mtu kujua kiingereza ndio kuelimika, kwenu mtu akizungumza fluent english ndio "kichwa", hamjui wapo watoto kwenye hizo english academy wanaozungumza fluent english bado wanapata div. 3 na 4.
Hamjiulizi swali dogo tu; wazungu wote hufaulu mitihani yao ya kiingereza kwa kupata "A" kwasababu wanakijua kiingereza? au sisi waswahili hufaulu mitihani yetu ya kiswahili kila siku kwa kupata "A" kwasababu kiswahili ndio lugha yetu?
Knowledge haihusiani kabisa na kuijua lugha fulani, muache ushamba.
Mwalimu anakupa maksi kwa kuangalia knowledge yako kwenye kuelewa na kujibu swali, hata kama umeandika broken english; hakupi maksi kwa kuangalia kiingereza kizuri ulichoandika hata kama knowledge yako kwenye kujibu swali ni wrong.
Ndalichako kwangu ni Professa. Tatizo akili ndogo zinaongezeka kila siku za ku graduate kwa kukariri madesa vyuoni.
Kwa kuwa nakula kwako sawaaWewe tayari umejikubali kuwa ni mjingamimi huwezi kuwa mtu sahihi kuchangia mjadala huu. Ndiyo maana hata watoto wa kindergarten wanakushinda
Prof. Ndalichako amesoma ni kipanga sawa hakuna ubishi juu ya hilo. Alitakiwa aendelee kuzungumza lugha ya hesabu na takwimu kwa wanazuoni, alitakiwa ajirudi na kujitenga na mafarisayo kwenye vyuo vikuu na taasisi ya juu.Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.
Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.
Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.