Waitara ile 'sura ya matapu tapu' ndiyo iliyomponza.
Mwambiege awe anapita saluni hasa hizi za Sinza, ashikwe shikwe uso na wadada wa 'baba shop' sura ilainike 😎
Hawa wanawake wa kanda ya ziwa tunao waoa wana mikono migumu sababu ya kulima, kuchunga ng'ombe na kupukuchua mahindi 😀
Wakishika shika uso wa mwanaume, sura inakongoroka haraka...