Mnaomchukia Mwita Waitara kisa tu aliwamaliza kisiasa tambueni kuwa yupo njema na atarudi tena mjengon.

Waitara ile 'sura ya matapu tapu' ndiyo iliyomponza.
Mwambiege awe anapita saluni hasa hizi za Sinza, ashikwe shikwe uso na wadada wa 'baba shop' sura ilainike 😎
Hawa wanawake wa kanda ya ziwa tunao waoa wana mikono migumu sababu ya kulima, kuchunga ng'ombe na kupukuchua mahindi 😀
Wakishika shika uso wa mwanaume, sura inakongoroka haraka...
 
Hawezi kuishi mtaani bila ubunge? Kwani hajajiajiri kama wabunge wanavyotufundisha wakati wa kugonga meza?
 
Je huko bado anagawa konyagi kwa wapiga kura kama alivyokuwa Dar es Salam?
 
Huyu na Mbowe ni walevi wa konyagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…