Mnaomfananisha Mwigulu na Magufuli mnatukosea sana Watanzania

Mnaomfananisha Mwigulu na Magufuli mnatukosea sana Watanzania

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Hi.
Aisee sijaona mtu kufananisha mlima na kichuguu. .Mwigulu is nothing over Magufuli.

Magufuli was another machine, real talented and problems solver. Acheni kumfananisha Mwamba jiwe na Wahuni wa Msoga.
 
Mnyiramba gani mwenye msimamo? Huyo unamuonea kumuweka level moja na Jiwe, mfananishe na wanyiramba wenzake kina Kitila Mkumbo, Jesca Kishoa
Sikubaliani na huyu comical PM ila umekosea kushambulia/kuhukumu kabila zima/lote la Nyiramba.

Mtu akikosea ahukumiwe yeye kama yeye kwa sababu ninaamini wapo wanyiramba wenye akili na misimamo thabiti.
 
Back
Top Bottom