BABA NI CCM
Member
- Nov 24, 2018
- 86
- 98
Na deal only na spare part ,kama unatafuta spare parts yeyote na sio tu VW gari yeyote ile , au umeona spare unayotafuta nishida kupata waweza nichek pia
Spare natuma mahala popote na mkoa wowote upon both agreement
Karibu
Ndugu nishauri jambo nkitaka kubadili engine ya VW T3 niweke engine ya Foresta unaweza nishauri vipi hapa na je engine gani naweza weka kwenye hii gari?