BABA NI CCM
Member
- Nov 24, 2018
- 86
- 98
Na deal only na spare part ,kama unatafuta spare parts yeyote na sio tu VW gari yeyote ile , au umeona spare unayotafuta nishida kupata waweza nichek pia
Spare natuma mahala popote na mkoa wowote upon both agreement
Karibu
Daaah upo sahihi kabisaaaToyota ni kama tecno
Hapa umetaja sababu kibao hazina mshiko hapa suala ni kwamba watz hamna ela za kununua Gari za Ulaya hata iwe Used.
Ndugu nishauri jambo nkitaka kubadili engine ya VW T3 niweke engine ya Foresta unaweza nishauri vipi hapa na je engine gani naweza weka kwenye hii gari?
Kwa 'John Shule'... ni gereji? Kaskazini ya wapi Moshi ama Arusha?
Sikubaliani na ww kabisaaaaaaaaHapa umetaja sababu kibao hazina mshiko hapa suala ni kwamba watz hamna ela za kununua Gari za Ulaya hata iwe Used.
Sikubaliani na ww kabisaaaaaaaa
Sasa Vanguard zimejaaa nchini kama uchafu useme watu hawana hela za kununua hizo gari??
Vanguard ni Toyota mkuu ya MjapaniSikubaliani na ww kabisaaaaaaaa
Sasa Vanguard zimejaaa nchini kama uchafu useme watu hawana hela za kununua hizo gari??
Vanguard ni Toyota mkuu ya Mjapani
Volkswagen Touareg V6/V10 inacost shillings ngapi pesa za kibongo wazee? Msaada nataka niivute hii kitu. Itafaa zaidi nkipata na maelezo mengine...
View attachment 1538819View attachment 1538821View attachment 1538823
Mkuu, hiyo Vanguard ni Toyota nadhani. Ni gari ya mjapan, siyo Ulaya.
Huyo uliyemquote, pia na Uzi huu, tunazungumzia gari manufactured in Europe.
Japan ni Asia, not Ulaya.
Hapa tunajadili repair centers in Tanzania kwaajili ya magari ya mjerumani, mfano Volkswagen.
Volkswagen Touareg V6/V10 inacost shillings ngapi pesa za kibongo wazee? Msaada nataka niivute hii kitu. Itafaa zaidi nkipata na maelezo mengine...
View attachment 1538819View attachment 1538821View attachment 1538823
Amesema Watz hawana hela za kununua hizo gari za ulaya, nikatoa mfano gharama ya Vanguard