Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hapa umetaja sababu kibao hazina mshiko hapa suala ni kwamba watz hamna ela za kununua Gari za Ulaya hata iwe Used.
Hii point yako hana nguvu..
Hayo magari ya ulaya mengi yakiwa used bei zake ni zile zile tu za wenzake wa categories zake ...
Changamoto huja kwenye spea na mafundi...
Kima wewe Vanguard ushaona ndio gari ya maana Toka lini mjapani akawa na gari ya maana nyie ndio hua mnaenda kwa madem/wanawake zenu unavimba na Subaru unajikuta nawe ni mtu kumbe huna lolote mafuta yenyewe unaweka ya elf 5 ukija kwangu nakufukuza.
Utajijua mwenyewe niwe wa kiume wa kike au shoga sawa tu ila uje na Subaru IST passo unapigwa mtama na kukimbizwa nikiwa Tz natumia Volkswagen Toureg V6 na Mercedes Benz haya sema kingine....
Nimejaribu kupitia coment zote lakini sioni gereji wala duka linalouzwa spare parts za magari tajwa na kibaya zaidi binafsi nikienda gereji zetu mtaani nazikuta VW Polo (Nazipenda sana) zikiwa zimepaki kwa kukosa vipuri mmojawapo ilikuwa imepasua sample tu? anyway je hatuna agent wa magari hayo ya ulaya pamoja na kwamba wakiwepo wanakuwa na bei ghali sana kuliko maduka ya watu binafsi mfano pale Kariakoo Toyota wana duka lao na wanauza vitu Genuine tu na nikatafuta Genuine hiyo hiyo kwa part number hiyo hiyo Kisutu nilikuja kushangaa jamaa wa Kisutu alikuwa anauza bei ya chini kuliko agent alivyokuwa anauza
Kama upo serious ni PMKwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu:..
Watu weshafunga ndoa na gari za Japan. Mjapan katushika kwakweli.
Afu ukitembelea nchi za jirani, gari za Ulaya ni nyingi sana mkuu. Nishawahi fika Lusaka Zambia, kule Toyota ni za kutafuta road. Nilikuwa naona brands za Ulaya tu BMW, Range, VW, kwa kiasi kikubwa.
Ila bongo, Toyota ni mafuriko road.
Hapo ndo utofauti unaonekana Mkuu. Hiyo 5M ni gari nyingine unapata ya kijapani mkuu...Hatari sana.Kuna Jerry Spare Parts and Service.
Yupo hapo Victoria karibu na Kairuki....
Sema gari yangu ilienda kwenye mambo ya kampeni.Hapo ndo utofauti unaonekana Mkuu. Hiyo 5M ni gari nyingine unapata ya kijapani mkuu...Hatari sana.
Hili gari kisu sanaVolkswagen Touareg V6/V10 inacost shillings ngapi pesa za kibongo wazee? Msaada nataka niivute hii kitu. Itafaa zaidi nkipata na maelezo mengine...
View attachment 1538819View attachment 1538821View attachment 1538823