Tatizo sio pa kupata spare. Spare zipo ila bei zake zikoje? Hilo ndio la msingi na ndicho ambacho kimewakimbizia watu Nagoya na Yokohama 🤣🤣🤣Pasipo kuelezana wapi pa kupata spea na mafundi wazuri, hizi gari za mjerumani tutaendelea kuziogopa sana hapa bongo!
Watu wengi kwa sasa wana afford gari nyingi za 12M-45M!!!Sikubaliani na ww kabisaaaaaaaa
Sasa Vanguard zimejaaa nchini kama uchafu useme watu hawana hela za kununua hizo gari??
Watu wengi kwa sasa wana afford gari nyingi za 12M-45M!!!
Sasa jiulize hizo German makes ngapi zinanulika ndani ya hio pesa. Watu hela wanazo ila maamuzi yanabaki kwenye criteria ya maintainance! Wasiojali wananunua vile vile.
Hahahah mie hela ikikaa sawa if im in to German machines, ntaanza na beamer x1 i really fond for that baby 😂😂😂 makes my D firm!Kuna watu bado hawajali ukakasi wa gharama za mjerumani. Wanajilipua naye tu.
Hizi boxi za mjapan ni kwasababu hatuna dough tu mkuu. Tunabakia na hasira tu ila nguvu hatuna.
Dar nenda CoET, UDSM kuna Maprofesa kibao wenye PhD zao za Mechanical Engineering.Kwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu:
- Uhaba wa mafundi/garage for European cars.
- Uhaba wa spea (kupata spea ni shida, sometimes inakulazimu kuagiza spea nje ya nchi!!).
- Spea ni aghali sana (expensiveness)...
Wengine tukijichanganya gari za Mjerumani vitu vyote itabid visimame (ada za watoto, Kodi za nyumba, SACCOS, ujenzi n.k)Hahahah mie hela ikikaa sawa if im in to German machines, ntaanza na beamer x1 i really fond for that baby 😂😂😂 makes my D firm!
Hahahah huko usiingie bila mkakati mzee usije ukalaza familia njaa.Wengine tukijichanganya gari za Mjerumani vitu vyote itabid visimame (ada za watoto, Kodi za nyumba, SACCOS, ujenzi n.k)
Mi ninatumia vw na avensis zote ulaya sijaona shida ya hizo gar tena naona ni gar smart sana very comfitable ba inatulia sana barabarani kweli spare bei ghal lakin si gar za kuharibika sana spareKwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu:
- Uhaba wa mafundi/garage for European cars.
- Uhaba wa spea (kupata spea ni shida, sometimes inakulazimu kuagiza spea nje ya nchi!!).
- Spea ni aghali sana (expensiveness)...
Aaah wapi uoga wako hakuna gar nzur kitumia kama za ulaya gar makin sana na ngumu ukiitunza ukaijali servise haidai spare kama mjapanWengine tukijichanganya gari za Mjerumani vitu vyote itabid visimame (ada za watoto, Kodi za nyumba, SACCOS, ujenzi n.k)
Toa na mfano. Siku nanunua Mercedes nadhani ukoo utakaa kikao unanunua Benz wakati kiwanja huna. Infact hofu Yao Ni kuwa misaada kwao itakataAaah wapi uoga wako hakuna gar nzur kitumia kama za ulaya gar makin sana na ngumu ukiitunza ukaijali servise haidai spare kama mjapan
Moshi maeneo ya Mbuyuni ndio mafundi bora kabisa hapa Tanzania
Wale wa Benedectine Fathers?Ndanda ya Mtwara?
Wale wa Benedectine Fathers?
Najua ukienda Ndanda pamechangamka kama Munich, je hao ndiyo wamiliki wa Mistry Garage pale Mtwara?
Aaah wapi uoga wako hakuna gar nzur kitumia kama za ulaya gar makin sana na ngumu ukiitunza ukaijali servise haidai spare kama mjapan
Garage kuna fundi mmoja yupo picha ya ndege kibaha maarufu current B german jamaa mtaalam saana saana saana wa gar hizo benz vw avensis audio hadi toyota na ana mashine ya kupimia gar zote
Mh ukiingiza gari huna haki ya kuiona kweli? Kweli mistryMistry Garage..