MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Angalieni yaliyomkuta Ndugai baada ya kupishana na Samia. Tena akiwa kwenye mhimili unaoisimamia serikali. Samia asingeweza kufurukuta mbele ya kiongozi wa malaika. Angejaribu si ajabu leo tungekua tunahesabu mengine kwa jeuri ya yule bwana. Tumpongeze kwa kuvuta subra hadi mwamuzi wa haki aliposimama.