Mnaomlaumu Samia kwa makosa ya awamu ya tano mlitaka afanye nini?

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3,294
Reaction score
4,920
Angalieni yaliyomkuta Ndugai baada ya kupishana na Samia. Tena akiwa kwenye mhimili unaoisimamia serikali. Samia asingeweza kufurukuta mbele ya kiongozi wa malaika. Angejaribu si ajabu leo tungekua tunahesabu mengine kwa jeuri ya yule bwana. Tumpongeze kwa kuvuta subra hadi mwamuzi wa haki aliposimama.
 
SSH ni vema akaitendea nchi kwa kadiri ya mapenzi ya haki,demokrasia,siasa safi,umoja,upendo, ukweli,uwazi na kuachana na kila lililoonesha au kuonesha ni batili katika misingi ya sheria za nchi na miongozo ya dunia salama.
 
Wanajitoa akili tu, wanasahau ya Nappe na kunyooshewa mdomo wa bastola
 
Mwendazake alikuwa ukimpinga anakuua kwa roho Yake mbaya
 
Tulitaka akojoe akalale

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…