Mnaomponda Magufuli na kumsifia Rais Samia hamjielewi! Magufuli na Rais Samia ni Magufuli yuleyule?

Mnaomponda Magufuli na kumsifia Rais Samia hamjielewi! Magufuli na Rais Samia ni Magufuli yuleyule?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Aliyemuweka SSH madarakani nani kama sio Magufuli? Magu aliona mbali akamuweka mtu ambaye ataendeleza legacy yake.

Ni mradi hupi aliouanzisha Magu umesimama? Miradi mingi imekamilishwa na mingine bado inaendelea kukamilishwa! Akili kubwa ya Magufuli itaendelea kuendeleza taifa hili vizazi vingi vijavyo.

Mwalimu Nyerere (Baba wa taifa) alijenga misingi kiasi kwamba vizazi vingi vinajenga juu ya misingi yake na sifa anapewa Nyerere. Bwawa la kuzalisha Umeme aliyedhubutu kulijenga ni Magufuli lakini jina kapewa Nyerere.

Kituo kikuu cha Station ya SGR Mwanza kimepewa jina la Nyerere kwa sababu wanajenga juu ya misingi yake. Hata wewe baba kama umejenga misingi mizuri ya familia na ukoo utaendelea kukumbukwa na kaburi lako kusafishwa/kutembelewa.

Kwahiyo shime Rais Samia kwa kuendeleza legacy ya Jiwe! Kuna mambo Rais Samia anayafanya ili na yeye ajiridhishe na mwisho wa siku anatambua kumbe bosi wake Magufuli alikuwa sahihi!

Alipuga akina Nape na Makamba alafu mama kawarudisha kwenye mfumo. Baadaye kagundua hawabebeki kawala kichwa! Alipinga maandamano ya wapinzani uchwara yeye kawaruhusu sasa kagundua hawana issue wanampotezea muda sasa hivi ndo kinachoendelea Mbeya akina Hongera Rais Samia kulinda na kutetea legacy za Magu.
 
Acha ujinga wewe, wanaiendeleza hiyo miradi kwa sababu mwamba aliacha imeshaanza, lakini angeiacha bado ipo kwenye makaratasi usingeona kitu kinafanyika, yule mzee ni kama alipewa maono kuwa maisha yake ni mafupi akiwa katika wadhifa huo ndio maana aliyaanzisha mamiradi mengimengi

#AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU
 
Back
Top Bottom