PostGE2025 Mnaomshambulia Father Kitima. Mtueleze hadharani Mdude Nyagali na wenzake yupo wapi? Angela Kiziga alistahili kuwa msaidizi wa Rais?

PostGE2025 Mnaomshambulia Father Kitima. Mtueleze hadharani Mdude Nyagali na wenzake yupo wapi? Angela Kiziga alistahili kuwa msaidizi wa Rais?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Tuache kuongelea mkataba wa waadabu wa Dp World ambao una kila dalili za rushwa na ufisadi .

Yuko wapi Chaula? Mdude Nyagali na akina Soka?

Angela Kiziga aliyekwapua mabilioni ya fedha na kuuchuna kama vile yupo kijijini analima mahindi, anastahili kuwa msaidizi wa rais?

TEC wanasimamia misingi ya imani yao. Mojawapo ni kuona haki inakuwepo. Kukataa viongozi mafisadi.

Haya nyie mnapenda ufisadi? Familia za wachache kufaidi matunda ya nchi? Watu kutekwa na kupotea?

Au mlifurahi Father Kitima alivyovamiwa na kuumizwa!
 
Free Pole Pole
Justice 4 Mdude Nyagali
Justice 4 soka
Justice 4 Chaula
Justice 4 Kipanya
Justice 4 Azory
Justice 4 Bensaanane
Justice 4 MC Pilipili
Justice 4 kanguye
Justice 4 Rujabe
 
Back
Top Bottom