Mnaomshambulia Spika wa Bunge amewakosea nini?

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
117
Reaction score
153
Spika wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dkt. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake?

Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
 
SPIKA wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dk. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake?

Tunataka kuiona ,PHD yake kwenye utendaji Kazi. Siyo makaratasi Hata mwingulu ana PHD Lakini hovyo kabisa
 
Hii kitu 👆 haina thamani linapokuja suala la kupitisha miswada bungeni! Wala haina thamani mbele ya mikakat ya CCM!!! NB; PhD sio kipaumbele huko, kikubwa ukubaliane na mikakat ya mfumo tu!!
 
any spineless "leader" from CCM deserves to be called out. anaendelea kupitisha miswada inayodidimiza maisha ya mTanzania wa kawaida, alafu mnataka achekelewe?
 
Wenye PhD za ukweli inabidi tukae kimya- Prof:Muhongo
 
Nae anaweza kuwa pimbi tu kati ya ma pimbi wenzake. Kashadharaulika
 
Sasa lawama zako ni kwa maRais waislamu wa kutoka CCM ?! Machadema kama unavyowaitaga umewaacha kwanza. !!
 
Koran inasema Wanawake wana akili nusu dhidi ya wanaume so hawafai kuwa viongozi... Tumejiroga wenyewe hizi issue sensitive za nchi na hii ni Adhabu anatupati Mwenyezi
 
abadilike kutoka ujaji awe spika wa bunge JMT

Kama katiba ya JMT inavyofafanua
 
Taaluma yake inatakuwa ilete tija kwa Watz siyo uchawa kwa form two dropout.
Bandari yetuuuu!!!!
 
Huyu ni spika au waziri au mwanasheria mkuu wa serikali? Mwenye uelewa na mambo ya kisheria anieleweshe
 
SPIKA wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dk. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake?

Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
Bilashaka hawaishambulii taaluma yake, bali anashambuliwa yeye kama Tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SPIKA wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dk. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake?

Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
Ana mambo na maumuzi ya Kihayawani Bungeni.
 
SPIKA wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dk. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake?

Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
Spika ndio aliyeongoza upotoshaji mkubwa bungeni kuhusu mkataba huu mbovu kabisa. Alaumiwe.
 
SPIKA wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dk. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake?

Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
Hana akili
 
Wewe ni ndugu yake kwani auoni kinacho endelea Bungeni......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…