Mnaomshambulia Spika wa Bunge amewakosea nini?

we bado hujaharisha huo uvundo wa mafisadi wa sukuma gang?
 
Uongozi mbovu usiuhusishe na Dini , uongozi mbovu unatokana na uweledi wa kiongozi husika.wapo waislamu waliokuwa na uwezo lakini hawakupata nafasi kama Dr Salim Ahmed Salim, Brigedia Hashim Ngwiliza ,Maruhum Abdallah Kigoda
 
Spika wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dkt. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake?

Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
We una hamu ya kutukana wakubwa wewe.
Kwa hiyo unataka kutuambia Dr wa mchongo ni nani sasa kwenye issue ya Bandari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…