Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.