Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Magufuri na makando yake yote hawezi kuwa sawa eti na Sa100 kwakipindi hiki cha miaka mitatu alichofanya kazi kama rais(never)
Magufuri weka mbali sijui kutumbua watu,kuwatembezea wapinzani virungu na mengineyo lakini kwenye kufanya vitu ambavyo vinaonekana yupo mbali sana(japo nlikuwa na mkataa kwasababu ya haraka zake zisizo na maana na kuanzisha vitu ambavyo vingekuwa mzigo kwa taifa ambalo ni tegemezi(mfano manunuzi ya ndege))
Nadhani kama kuna watu inabidi wamshukuru Magufuri siku zote ni Wagogo, kabadili town yao kwa muda mchache sana(nimekaa Dom zaidi ya miaka saba kabla ya Magufuri ila Dodoma ilikuwa kituko yani nyuma tu ya Bunge mitaa ya Chaduru,Makulu watu walikuwa wanalima karanga mjini na mahindi tena mashamba kabisa)