Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Wanaendeshwa na mahaba niue tu.

Ukiangalia mkewe alivyonawiri baada ya yule mzee kufariki tu utagundua yule mzee alikuwa tatizo lililoshindikana
Kwanza mkewe alikuwa hampendi yule Mzee kwa tabia yake ya umalaya na udikteta.
Imagine mtu anazaa na shemeji yake mpaka watoto 2, unaweza kusema ni bahati mbaya?. Shemeji ambaye ni baba na mama mmoja na mke wake.
 
Wewe una chuki Binafsi tu, roho mbaya gani? Na kwa nini usimrudishie chenji yake? Kama sio wizi ni nini? Mtu kukudai chenji yake ndo ana roho mbaya??? Acha chuki tafta hela Mkuu
 
Nyie hamumjui vizuri yule Mzee. Hiyo ni just Minor case. Hivi mtu bilionea kumind kwa issue ya chenji ya buku 2 unadhani ni akili timamu?
Jamaa hakutaka kuiba ile elfu 2 . Alitoa pesa inunuliwe dawa ya mbu then akaondoka , alirudi kama wiki mbili mbele. Akaulizia buku 2 yake. Aliitaka apewe haraka jamaa akatoa elfu 10 ndipo Mzee akamind.
Msaidizi wake mmoja alinipa story nyingi moja na iliyonipa shock jamaa alikopa pesa benki nmb akanunua kiwanja mbezi ya kimara mahali pazuri tu pesa ikaisha. Akamwambia Mzee naomba nikopeshe milioni 10 nianze ujenzi benki sikopesheki maana nimekopa juzi tu. Nitakulipa kila mwezi kwa posho yangu nami taishi kwa mshahara wangu kidogo. Nipigane nihamie kwangu. Mzee alimtukana sana.
 
Mtu akajiita “Jiwe” bado mnaona ana akili?

Ila kupitia haya yalioibuliwa na Kabendera nimejua chawa wengi wa jiwe ambao wengine walikuwa wanajificha ficha kama bangi

raraa reree bro tumejua rangi yako, umejitahidi sanna kukificha lakini tumekunasa
Rangi gani bruh
Sio mnufaika wa chochote kwa jiwe
Mtu hata kama ni mwizi lazima uwe na hoja kudhibitisha sio kwa kusikia tu maneno ya watu na kuhukumu
 
Kumbuka kuwa marais wote wa CCM wanatekeleza ilani ile ile, tatizo letu ni kule kuwaabudu baadhi na kuwachukia baadhi. Sisi kushabikia urais wa fulani kunatunyima uwezo wa kufahamu kuwa wote ni watimizaji wa kinachoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi.
Na wale pia wanaosema mapungufu ya Magufuri lazima wajue kwamba shida inatokea kwenye mfumo.Kuteka,kufanya matendo yote maovu ni mfumo tu ndio unampa nguvu anayekuwa kiongozi mkuu(kukuhakikishia hili, ata wanaokaza shingo hapa wakipewa madaraka katika mfumo huu watateka na kufanya maovu pia(rejea huyu wa sasa,mwanzoni si alipigiwa makofi na kuimbwa na wapinzani wake sio? Sasa hivi wanasemaje?)

Katiba yako ina changamoto nyingi(Magufuri angekuta katiba isiyo na kona kona leo hii vitu vingi wanavyodai alifanya visivyo vya kiungwana asingeweza kufanya)
 
Wanaendeshwa na mahaba niue tu.

Ukiangalia mkewe alivyonawiri baada ya yule mzee kufariki tu utagundua yule mzee alikuwa tatizo lililoshindikana
Hata kwenye ziara za magu yule mama alikuwaga mnyonge sana ila sahv anachanua tu anainjoy life

Sahv anautaka ubunge hapo ndo atakula raha zaidi,hotel za dom zitamkoma
 
Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.

Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k

Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.

Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.

Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.

Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Pumbavu kabisa wewe unataka kuzuia buku la mwanaume mwenzako hutaki kudaiwa chenji.
 
Sema sifa zote mbaya kuhusu Magufuri ila kuchapa kazi acha kudanganya watu Afrika Mashariki na Kati hakuna mtu mchapa kazi kama Hayati Magufuri.
 
Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.

Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k

Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.

Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.

Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.

Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Una mtindio WA ubongo. JPM is the hero of 21st century
 
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Sasa ndugu unataka ukitumwa kitu chenji ubaki nayo bila ruhusa ya mwenye pesa ?

Sasa hapa si unakua umetafuta ugomvi kwa lazima ?

Anyway natamani kusoma mengi kuhushu hii issue kutoka kwako
 
Back
Top Bottom