Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😢😢 Daa! Hii barabara mtu akipiga picha akatuma huwezi amini kama ipo jiji la Dar es Salaam. Tena nyuma ya International Airport. Huyo mbunge wao sijui hata kama alishapita hiyo barabara tangu achaguliwe.Kuna mahandaki kama vietnam, barabara ya banana - kitunda ipo nyuma tu ya airport lakini fedheha kuipita. halafu inakuja kima moja yenye njaa inaandika ujinga kuwa Samia kaleta maendeleo, maendeleo gani?
Usikute alitaka kupiga mamilioni ya pesa ya umma akabanwa anazuga kwa kusema ni chenji ya buku.Sasa ndugu unataka ukitumwa kitu chenji ubaki nayo bila ruhusa ya mwenye pesa ?
Sasa hapa si unakua umetafuta ugomvi kwa lazima ?
Anyway natamani kusoma mengi kuhushu hii issue kutoka kwako
Kwani nimesemaje kaka? Nimeishia tu pale jamaa kasema, mama kafanya mengi zaidi kuliko Magufuli. Hayo mengine ya huko chini wala, sijajisumbua nayo.kuuza, mikopo kede kede, piki piki zimeingia mapema sana? Mbona hauna shukurani mkuu
Nakuzingua tu mkuu. Mwenyewe niliishia hapoKwani nimesemaje kaka? Nimeishia tu pale jamaa kasema, mama kafanya mengi zaidi kuliko Magufuli. Hayo mengine ya huko chini wala, sijajisumbua nayo.
Nimekueelewa sana mkuu; pamoja sanaNakuzingua tu mkuu. Mwenyewe niliishia hapo
Kama Mwanae tu alijiua kwa kunywa sumu tukadanganywa ni malaria.Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Sasa mwajuma ndara ndefu ukimuambia hii story anaona unamdanganya.Utasikia ni jembe mara Watumishi walikuwa wanatusikiliza 😆😆
Vimaneno vya watu maskini na wapumbavu.
Wao furaha Yao ni kuona wenye nacho wanakuwa maskini kama wao.
Huyo wanaemtetea alikuwa na Magenge ya kupora Mali za watu na hakuna kitu aliwafanya.
Mfano mzuri yule Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mtanda alikuwa anaendesha genge la uporaji mifumo akiwa DC na watu wanajua lakini hawakuwa na pa kusemea maana taarifa zilidhibitiwa na hofu ilitanda.
Binafsi sitoacha kumtetea Kwa sababu ndani ya utawala wake nimeweza kupata Mali yangu ambayo nilipokonywa mwaka 1996 na aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo X na kesi ikaenda mahakamani lkn Mfumo Ulikuwa dhulumishi hivyo kupelekea kudhulimiwa licha ya kupeleka kesi mahakamani.Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Acha ujinga ujinga. Tutajuaje kama huyo dereva mmempanga. Mi Dkt Magufuli namfahamu personally, ni mtu aliyependa utani ila kwenye kazi hakuwaga na utani. Alikuwa kiongozi mwenye huruma na mwenye maono ya kila alichopewa kukifanya. Alijiongeza na kufanya kazi zake zionekane. Ni yeye pekee vetting ilivyopita kuhusu kumkabidhi waziri ambaye ni muadilifu kwenye wizara ya ujenzi na hatimaye tukaona mitandao ya ujenzi wa barabara umeenea nchi nzima maana waliokuweo walikuwa rushwa tu. Ni yeye Dkt Magufuli alipenda sana story na watu na alipenda kujifunza kwa wengine. Dkt Magufuli alichukia sana wezi, wazembe na wala rushwa. Hivyo hakuna sababu kabisa ya kumsema vibaya. Dkt Magufuli watanzania bado Tunamlilia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Yeyote anayemsema vibaya anajiweka kwenye laana.Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Hongera sana kiongozi kwa kusema ukweli. Ni hakika Dkt Magufuli hakuwa mtu wa kuonea. Alikuwa mpenda haki sana, hakuwa na makuu, alikuwa mcheshi sana. Ila wewe kama rafiki yake hebu mpelekee dili la wizi yaani na utafiki utakoma siku hiyo hiyo na unakuwa adui yake! Dkt Magufuli alikuwa mtu wa pekee sana. Dkt Magufuli hata ofisini kwake kipindi akiwa waziri aliweza kutoka hata ofisini ili kusikiliza wananchi waliojipanga ofisini kwake, na aliweza kusikiliza mmoja baada ya mwingine na kutafuta ufumbuzi. Hakika Dkt Magufuli alikuwa kiongozi wa watu! Na ndiyo maana wakazi wa Ikulu maeneo ya Chamwino mpaka leo wanamlilia, yaani aliyabadili maisha ya pale kila mtu akawa na neema!Binafsi sitoacha kumtetea Kwa sababu ndani ya utawala wake nimeweza kupata Mali yangu ambayo nilipokonywa mwaka 1996 na aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo X na kesi ikaenda mahakamani lkn Mfumo Ulikuwa dhulumishi hivyo kupelekea kudhulimiwa licha ya kupelekea mahakamani.
Haya kaja WA msoga nijaribu kukata rufaa ila bado Mfumo ulinitoa nje na tena niliambiwa kabisa hii kesi wewe ndio Mwenye haki ila ukitoa Kiasi falani (ambacho kilikuwa NI kikubwa na sijawahi kukishika) nashinda.
Alivyoingia magufuli wenyewe watumishi WA mahakama X waliniambia kata rufaa tena this time unashinda mchana kweupe tena hutatoa hata thumniii..kweli nikafanya within one month kitu chumaaaaa Hadi Leo nipo na Mali zangu na Tena Kwa Maandishi Yule Mzee kaandika wosia Kwa wanawe wasidiriki kuendeleza kesi kwani yeye alikuwa anafanya dhulma na Mimi kanipa nakala ya huo wosia wake📌
Hakika 📌Hongera sana kiongozi kwa kusema ukweli. Ni hakika Dkt Magufuli hakuwa mtu wa kuonea. Alikuwa mpenda haki sana, hakuwa na makuu, alikuwa mcheshi sana. Ila wewe kama rafiki yake hebu mpelekee dili la wizi yaani na utafiki utakoma siku hiyo hiyo na unakuwa adui yake! Dkt Magufuli alikuwa mtu wa pekee sana. Dkt Magufuli hata ofisini kwake kipindi akiwa waziri aliweza kutoka hata ofisini ili kusikiliza wananchi waliojipanga ofisini kwake, na aliweza kusikiliza mmoja baada ya mwingine na kutafuta ufumbuzi. Hakika Dkt Magufuli alikuwa kiongozi wa watu! Na ndiyo maana wakazi wa Ikulu maeneo ya Chamwino mpaka leo wanamlilia, yaani aliyabadili maisha ya pale kila mtu akawa na neema!