DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
Dah kweli january ngumuSijasoma mada ila nimesikitika sana hasa hapo uliposema ulibakwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli january ngumuSijasoma mada ila nimesikitika sana hasa hapo uliposema ulibakwa
🤣Sijasoma mada ila nimesikitika sana hasa hapo uliposema ulibakwa
wewe ni mjinga unayeishi. Wewe unamjuaje magufuli kwa undani ? Kumbe hata hujui kwamba dereva wake akiwa waziri ndiye huyo huyo alikuwa akimuendesha akiwa Rais. Magufuli hawezi kuwa rafiki wa jinga kama wewe na tapeli jizi. Magufuli yupo mioyoni mwetu. Mama Yako kaachia matapeli Yale kwa urefu wa kamba ndiyo umfananishe na jembe? Hawezi na hataweza kamwe. Wewe jizi moto wa Jehanam unakusubir. Kwasasa shangilia na furahi watanzania kuibiwa lakini mwisho wa uhai wako utaonaWatanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Na kweli yule mama alinawiri sanaa baada ya kifo cha mumewe🤔🤔🤔Wanaendeshwa na mahaba niue tu.
Ukiangalia mkewe alivyonawiri baada ya yule mzee kufariki tu utagundua yule mzee alikuwa tatizo lililoshindikana
Mkuu kuna Lile suala la kifo cha Binti yake kilicho gubikwa na usiri mkubwa ,kuna yeyote humu akatusimulia?Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Ila ukweli usemwe, Samia pamoja na mapungufu yake ila kwa kipindi kifupi amefanya mengi kuliko huyo JPM wenu.Samia kaleta maendeleo? Njoo huku jimbo la Ukonga uongee huo ujinga! Labda kama kamzidu JPM ni kuzurula sawa!
Mkuu mbona umeandika ki 'vyeti feki' sana, ulitumbuliwa ukafukuzwa, au mihadarati yako iliteketezwa?Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Kwa hiyo unataka akikutuma usirudishe chenji. Huo ndio unaona ubaya wa magufuli? Basi kwa ujinga ubinafsi na uroho wako hujui watu walimpenda magufuli kwa ajili hiyo. Nyie wenye kuamini kupiga hela ya umma hamrudishi chenji ndio mlimuona ni mtu mbaya. Kwanza fikiri kwa nini amekua waziri tangu enzi ya mkapa hadi kikwete kwa mfululizo. Wewe ni mtu mbinafsi, mchoyo na mjinga tu.Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Ulivyosema hii kauli ndio nikajua kumbe wewe ndio Mbumbumbu, Tahira au hujui unachozungumza zaidi ya Chuki Binafsi kwa Magufuli.Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Kusema Magufuli alikuwa Muuaji nakataa, kila Rais aliyewahi kuingia madarakani amewai kushutumiwa na hii kesi. Hii ni tabia ya sisi-M wenyewe tu hasa wale chawa kindakindaki wa chama, hata kwa Rais wa hivi sasa si watu wameuawa na kutekwa... yule mzee wa chadema aliyetekwa kwenye gari na kuuliwa si kauliwa kwenye utawala wa sasa au pia unataka kusema Magufuli ndio kamdedisha. Hata yule Speaker 🔊📢 aliwai kusema kauli "Msiruhusu mtu akichezee chama, malizaneni nae"... Hizo ni falsafa za Sisi-emu.Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Taja Project 5 alizozianzisha Mama na zikakamilika ndani ya utawala wa muhula huu wa kwanzaSamia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6.
Samia kaleta maendeleo? Njoo huku jimbo la Ukonga uongee huo ujinga! Labda kama kamzidu JPM ni kuzurula sawa!
Wewe ndiye uliyekaririshwa ukakariri Kari kari.Acha kukaririshwa wewe.
Kuna Jamaa katapika vibaya , she was beaten untill death , raped , her sister disowned , his wife also went severe and brutal punishment nearly to die several times, also one of his daughter who failed national exams was nearly dead by his severe punishment , that's in short.Mkuu kuna Lile suala la kifo cha Binti yake kilicho gubikwa na usiri mkubwa ,kuna yeyote humu akatusimulia?
Ukali uwe na mipaka, Magu alikua kajua yote na mkali na mwenye madaraka makubwa.Mafisadi na familia zao na waovu wote wanaoirudisha nyuma Tz ndio ambao hamumpendi JPM
Mtu akiwa mkali kosa akiwa mpole pia kosa yaani umaskini wa Tanzania ni kwa sababu wananchi wake wana ujinga na hawajui wanataka nini.
Nitajie fisadi mmoja unayemjua wewe.Mafisadi na familia zao na waovu wote wanaoirudisha nyuma Tz ndio ambao hamumpendi JPM
Mtu akiwa mkali kosa akiwa mpole pia kosa yaani umaskini wa Tanzania ni kwa sababu wananchi wake wana ujinga na hawajui wanataka nini.
Ukisema sie tunamtetea je nyie mnamchukia? Na ndio sababu ya nyie kuendelea kueleza mabaya yake hadi sasa?Mna mtetea huyo mtu wenu Kwa propaganda kuliko facts na msingi wa utetezi wenu hauna mashiko.
Mzee MwanakijijiJana kuna jamaa, tena anasema yuko Marekani, alikuwa anasema anajua mabaya ya Magufuli, ila ana support udikteta wake kwa sababu ulikuwa unaleta maendeleo.
Naona vita dhidi ya Hayati inaendelea huku Hayati akiongoza.Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Mimi binafsi simchukii ila sijawahi mkubali Kwa maamuzi yake.eg Vietnamese yenye uchumi wa Dola Bilioni 450 ndio inajenga reli za Sgr kuanzia 2027.Ukisema sie tunamtetea je nyie mnamchukia? Na ndio sababu ya nyie kuendelea kueleza mabaya yake hadi sasa?
Tatizo lililopo ni kwamba nyinyi mmepofushwa na chuki mmefika stage ambayo lolote baya litakalosemwa kuhusu Magufuli mnalichukua kama lilivyo na kufanya ni ukweli et kisa Mnamjua Magufuli alikuwa katili, sasa hata kwa akili ya kawaida tu inawezekana vp kila kisemwacho bila ushahidi kihesabike ni kweli?