Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa mkuu!Futi moja kila upande.
Kama niliandika mita ni mistake tu
Tuzidi kumshukuru Mungu,tulikua tunaenda kubaya sanaWengi wanaomchuki magufuli humu ndani ni wale watu watumishi hewa/upepo aliowafukuza au wana undugu na wale wote waliofukuzwa na Magu
Iko hivyo na itabaki kuwa hivyo.
Kwahiyo umekubali kuwa jamaa alikuwa fisadi asiyependa mafisadi wenzake?Hapo sawa mkuu!
Chuma huku kwetu tulikituma kikakusanye pesa mkuu! Mbona akina Kigwete na Luwasa walikuwa wanakula
Tatizo wote hakuna hata mmoja anayekubali kwamba anamchukia, ila cha ajabu mkiona mtu kamsifia Magufuli kwa lolote hata kidogo tu basiMimi binafsi simchukii ila sijawahi mkubali Kwa maamuzi yake.eg Vietnamese yenye uchumi wa Dola Bilioni 450 ndio inajenga reli za Sgr kuanzia 2027.
Tanzania yenye uchumi wa Dola bil.80 inahangaika na SGR zisizo na msingi.
Hapo sijagusia kupora watu hela,hakuna Ajira,maisha magumu na upuuzi mwingine kama huo.
Tanganyika tunaimba wimbo wa mitano Tena😂Mimi binafsi simchukii ila sijawahi mkubali Kwa maamuzi yake.eg Vietnamese yenye uchumi wa Dola Bilioni 450 ndio inajenga reli za Sgr kuanzia 2027.
Tanzania yenye uchumi wa Dola bil.80 inahangaika na SGR zisizo na msingi.
Hapo sijagusia kupora watu hela,hakuna Ajira,maisha magumu na upuuzi mwingine kama huo.
Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k
Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuU
Nimecheki kwanza kama Raraa Reree ka-like hii comment yako 😄Mtu akajiita “Jiwe” bado mnaona ana akili?
Ila kupitia haya yalioibuliwa na Kabendera nimejua chawa wengi wa jiwe ambao wengine walikuwa wanajificha ficha kama bangi
raraa reree bro tumejua rangi yako, umejitahidi sanna kukificha lakini tumekunasa
Hali ilikuwa vipi kipindi cha Magufuli?Kuna mahandaki kama vietnam, barabara ya banana - kitunda ipo nyuma tu ya airport lakini fedheha kuipita. halafu inakuja kima moja yenye njaa inaandika ujinga kuwa Samia kaleta maendeleo, maendeleo gani?
Pamoja na yule aliyekuwa Mkurugenzi wa mashtaka.Utasikia ni jembe mara Watumishi walikuwa wanatusikiliza 😆😆
Vimaneno vya watu maskini na wapumbavu.
Wao furaha Yao ni kuona wenye nacho wanakuwa maskini kama wao.
Huyo wanaemtetea alikuwa na Magenge ya kupora Mali za watu na hakuna kitu aliwafanya.
Mfano mzuri yule Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mtanda alikuwa anaendesha genge la uporaji mifumo akiwa DC na watu wanajua lakini hawakuwa na pa kusemea maana taarifa zilidhibitiwa na hofu ilitanda.
Kaleta maendeleo kwa sababu ya kutuongezea tozo badala ya kukusanya Kodi na kuendeleza kukopa bila kujua analofanya.Samia kaleta maendeleo? Njoo huku jimbo la Ukonga uongee huo ujinga! Labda kama kamzidu JPM ni kuzurula sawa!
HahahaTuzidi kumshukuru Mungu,tulikua tunaenda kubaya sana
Mtu asipompenda Magufuli yampasa ajichunguze ili apate kufahamu mtindio wake wa ubongo umefikia level gani.Mimi na familia yangu yote na ukoo mzima kiukweli tunampenda sana Magufuli. Hata majirani zangu wote wanampenda sana Magufuli.
Soma mauaji mengine ya Magufuli hapa chini.Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.