Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Naomba niheshimu haya mawazo makubwa na akili ya ufahamu.Mtanzania hufurahi sana mwenzake akipatwa na matatizo!!.Mtanzania akiona mwenzake kalala njaa anafurahi sana😳Hii ndio nafasi inayotumika sana na baadhi ya viongozi kueneza ubaya.Pia tatizo la usahaulifu linachangia,na kutokuwa wachunguzi.
 
Soma mauaji mengine ya Magufuli hapa chini.

UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO

👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha.

👉Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake.

👉Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi.
Baadae jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato..
Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajali Morogoro.
RIP Phares kabuye

"Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nazani sasa hivi John pombe magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"

Anayemtetea Magufuli ni mshenzi tu.
Hahahaha 🤣
 
😢😢 Daa! Hii barabara mtu akipiga picha akatuma huwezi amini kama ipo jiji la Dar es Salaam. Tena nyuma ya International Airport. Huyo mbunge wao sijui hata kama alishapita hiyo barabara tangu achaguliwe.
Alipita mwaka jana kwenda kuzindua petrol station ya rafiki yake. Baada ya hapo hajakanyaga tena.
Ni Bw. Jerry Slaa.
 
Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Ilikuwaje muuaji hakuwahi kushtakiwa kwa kosa la mauaji?

Ilikuwaje muuaji wa enzi zile akateuliwa kugombea urais na kushinda kwa kishindo?

Mtoa hoja una hoja ya kizwazwa...

Kukabiliana na marehemu ni ujinga wa kijinga.

Wahuni wapo hai unashindwa kukabiliana nao kisha unakuja hapa na hoja ya kizwazwa kuhusu ukatili wa mtu aliyelala mauti.

Acha ufala
 
Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.

Mtanzania hufurahi sana matatizo ya mwenzake. Mtanzania anafurahi taarifa za msiba, ajali , jirani kukosa kazi, kufukuzwa kazi n.k

Mtanzania akiona jirani yake kalala njaa moyo wake unaburufldika.

Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.

Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.

Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Wewe nichetifeki ama ulikuwa mwizi, itaje miradi ambayo mama ameianzisha yeye kamayeye.
Miradiyote yakimkakati unayoiona ilianzishwa na Magufuli, naunafahamu fika sema unajitoa akilitu.

Magufuli akikutuma ukibanachench hatakama nielfu 1 anakuambia urudishe, Sasa mtu amekutuma anakuambia urudishe chenchiyake ndio roho mbaya?, unajua kubana chenchi ya mtu ndiouwiziwenyewe? wewe ni me ama ke, achakupenda vyabure.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanaomchuki magufuli humu ndani ni wale watu watumishi hewa/upepo aliowafukuza au wana undugu na wale wote waliofukuzwa na Magu

Iko hivyo na itabaki kuwa hivyo.
Yule aliyeasisi mfumo wa watumishi hewa /kughushi vyeti ndiye aliharibu kabisa na ndiye wa kulaumiwa muda wote maana yupo hai hadi leo hii.

JPM atakumbukwa kwa ujasiri wake hakuchaka na wahuni kabisa.
 
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele
Andiko lako nilianza kulielewa lakini kumlaumu mtu kisa anadai chake ni roho mbaya na ujinga. Yaani unataka ule chenji ya mtu halafu akidai unamuona mbaya😀😀
 
Ni kweli wengi wetu tunaweza tusimjue kiundani vile alivyo ila tunamuona vile anavyoishi na kumfahamu.
Kwa njisi nilivyosikia maisha yake na maoni ya watu, ninaweza nikasema JPM alikuwa hana utani na mtu anayekuja kwenye maisha yake kuhalibu future yake wenda mtu huyo kwa kujua anachofanya au lah. Huyu ni mwanadamu pia anakosea. Unaposema alikuwa anadai chenchi na hata ukijisahulisha atakudai, hili sioni kama upo sawa ila niseme tu kunakaupumbavu fulani watanzania wamejizoesha mtu akiwa anadai haki yake mnamuona hafai tena ndiyo kwanza mnaanzisha chuki naye. Niseme tu jamaa alikuwa yuko vizuri baadhi ya mambo ila mengine sijaona bado ubaya wake.
 
Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy na roho mbaya ya kutumbua wenzake hadharani ndio sababu kuu ya Watanzania kumpenda Magufuli.
Jaribu kuwa specific Samia kafanya nini kipya? tupe mchanganuo maneno jumuishi bila kuweka ushahidi ni uongo
 
Katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho maiti nyingi zimeokotwa zikiwa zimeharibika na nyingi kutokutambulika, katika kipindi cha utawala wake ndio kipindi ambacho Watanzania wengi walipotea kuliko utawala wa Rais yeyote. Watanzania wasahaulifu sana. Ukiwawekea tukio moja wanasahau ya nyuma yote.
Magufuli alikuwa katili.
Nakubaliana na wewe katika hili la baadhi ya watu kutekwa na kupotea, je haya mambo yamekoma/yameisha kipindi cha utawala wa mama?. Kama bado yapo what mama innocent on this?
 
Ilikuwaje muuaji hakuwahi kushtakiwa kwa kosa la mauaji?

Ilikuwaje muuaji wa enzi zile akateuliwa kugombea urais na kushinda kwa kishindo?

Mtoa hoja una hoja ya kizwazwa...

Kukabiliana na marehemu ni ujinga wa kijinga.

Wahuni wapo hai unashindwa kukabiliana nao kisha unakuja hapa na hoja ya kizwazwa kuhusu ukatili wa mtu aliyelala mauti.

Acha ufala
Nchi ukifikia level kuanzia DC na kuendelea hata ukaua una uwezo wa kufunga vinywa vya police, TISS n.k ilimradi tu usiue hadharani mbele ya camera kama yule RC sijui Ditopile.
 
Sehemu kubwa ya watu wenye roho za chuki na husuda ndiyo walio/ wanaofurahia ukatili wa yule mzee.
Alipotangaza kuwa matajiri wataishi kama shetani wafuasi wake walifanya sherehe, maana wanaamini kuwa umasikini wao umesababishwa na utajiri wa matajiri.
Unfortunately matajiri bado wanakula mema ya nchi, jiwe kaoza na wao wangali bago maskini
 
Back
Top Bottom