Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Kuna mahandaki kama vietnam, barabara ya banana - kitunda ipo nyuma tu ya airport lakini fedheha kuipita. halafu inakuja kima moja yenye njaa inaandika ujinga kuwa Samia kaleta maendeleo, maendeleo gani?
Hawa machawa wengi wao ni mataahira!
JPM kajenga barabara ya Mbezi -Kinyerezi!
Barabara za Buza na maeneo kibao kinondoni huko!
Huyu Mama kwangu mimi naona anafanya vitu vya kawaida tu ambavo hawa wewe ungekuwa Rais ungefanya hakuna maajabu yeyote!
 
Iddi Amin alichafuliwa... Sasa watu ndio wanaanza kupata ukweli kuwa ni propaganda. Vivyo hivyo kwa Magufuli. Wanachofanya sasa ni character assassination.
Your browser is not able to display this video.
 
Naungana nawe
 
Inawezekana sisi hatumjui vizuri ingawa tunampenda sana. Haya wewe ambaye humpendi unamjua vizuri?
 
Mimi magufuli nimemjua Toka akiwa mdogo.Alikuwa na upendo wa hali ya juu sana Kwa watu wema lakini alikuwa mkali Kwa watu wabaya kama wezi, wazembe na wasiujishughulisha.Ndiyo maana alipokuwa rais aliwanyoosha sana mafisadi.
 
Mafisadi na familia zao na waovu wote wanaoirudisha nyuma Tz ndio ambao hamumpendi JPM

Mtu akiwa mkali kosa akiwa mpole pia kosa yaani umaskini wa Tanzania ni kwa sababu wananchi wake wana ujinga na hawajui wanataka nini.
Hakika mtu yule alikuwa mwovu.
 
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.

HUU NDIO UKATILI?
 
Utasikia ni jembe mara Watumishi walikuwa wanatusikiliza 😆😆

Vimaneno vya watu maskini na wapumbavu.

Wao furaha Yao ni kuona wenye nacho wanakuwa maskini kama wao.

Huyo wanaemtetea alikuwa na Magenge ya kupora Mali za watu na hakuna kitu aliwafanya.

Mfano mzuri yule Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mtanda alikuwa anaendesha genge la uporaji mifumo akiwa DC na watu wanajua lakini hawakuwa na pa kusemea maana taarifa zilidhibitiwa na hofu ilitanda.
 
We Ni Mpumbavumbi Kama Mwenzio Tu..


..Ni Hayo Tu!!
 
Umeongea kinafiki sana tulidhania utatupa kila kitu ambacho kitatufanya na sisi tuungane na wewe

Umetumwa dukani ukakubali kwa hiari yako kwa nini ujisahaulishe kurudisha chenchi harafu

Mwenye hela yake akudai umuite mkatili 🤣🤣🤣

Lipa hela ya mtu
 
Hapo kwenye kubana chenji kunadhihirisha tabia yake ya kuchukia wezi. Sasa kwanini ubane chenji?

Tanganyika tumeshafanya wizi ni haki yetu, yaani mtu akiudhibiti anakuwa katili. Hapo ni chenji ya dukani, ukipewa mamilioni ya uma ufanye manunuzi?

Hilo la mauaji sina comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…