Mnaomtetea Ole Sabaya mnapaswa kuchunguzwa na TAKUKURU

Mnaomtetea Ole Sabaya mnapaswa kuchunguzwa na TAKUKURU

Huyu jamaa nani alikuwa anamlinda? Kwanini kila mtu anamlalamikia?

Anastahili adhabu gani huyu jambazi?
Yeye na kiongozi wake aliempa dhamana pamoja na Magaidi wote wanastahili kulipwa walichopanda hapa duniani
Je ina maana hasitahili kuwa na wakili. Maana kazi ya wakili ni kitetea. Akimtetea naye afungwe siyo?
 
Daah matukio ya Sabaya bado yupo hai aisee muda mwingine naikubali sana SA wangeteka hilo gari hata kama angekua na ulinzi wa Rais...watekaji baadae ndio wangepelekwa jela maana sabaya sio wa kukaa jela ni kuzimu..
 
Hapo China angekuwa kashasahaulika
 
Back
Top Bottom