Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Je ina maana hasitahili kuwa na wakili. Maana kazi ya wakili ni kitetea. Akimtetea naye afungwe siyo?Huyu jamaa nani alikuwa anamlinda? Kwanini kila mtu anamlalamikia?
Anastahili adhabu gani huyu jambazi?
Yeye na kiongozi wake aliempa dhamana pamoja na Magaidi wote wanastahili kulipwa walichopanda hapa duniani
mwendazake alikuwa mafiaNyinyi si ndo mmegeuka washangiliaji wa mafisadi watolewe tu kwa hoja nyepesi kua wameonewa na mwendazake.
Nyi ni wanafiki snaa
Binadamu kaumbiwa kusahau na kujisahaunaamini viongozi wa sasa wamejifunza kitu
Hapo China angekuwa kashasahaulikaDaah matukio ya Sabaya bado yupo hai aisee muda mwingine naikubali sana SA wangeteka hilo gari hata kama angekua na ulinzi wa Rais...watekaji baadae ndio wangepelekwa jela maana sabaya sio wa kukaa jela ni kuzimu..