maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.
Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.
Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.