Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Zuchu...kwani ni msanii au mwanamuziki?

Nadhani Artist haikutafsiriwa vyema, tutafute neno la kiswahili litakalochukua maana halisi ya Artist ili USAINI tuwaachie wakina Zuchu, DUDE na wafananao.
 
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Hizo hisia zako,ila NUMBER zina tofautiana na hisia zako.
 
Zuchu ndio Mgombea wa chama kipi? Kwani Kakatwa na Nec au?

Tuko busy . Maana 28 oct tuna jambo letu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Mkuu yani hapo bado kidogoo sana unakua mchawi!
 
Huyu ndio zuchu, anamkimbiza hadi Alikiba kwenye digital platforms.
We dhani streams zote hizi million 4 ni za machizi.
9a8548b4a3234747dbb15607ad869e0a.jpg

Nyie kama hamumuelewi ni kivyenu ila anawafuasi zaidi ya milioni moja kwenye akaunti yake ya instagram katika kipindi kifupi tangu atambulishwe kwenye game.
 
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
maroon7 kutomuelewa wewe hakufanyi wengine wasimuelewe au hawamuelewi hiv umeona mapokezi ya Zuchu kahama?
 
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Seriously? Usikalili mziki , Kwanza inaonekana hujui hata anaimba aina gani ya mziki.
 
Back
Top Bottom