Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ila ana nondo fulani hivi very exceptional huyu Mzee.Huyo mzee ndio mwenye funguo ya milango ya ikulu.
Ana wajibu wa kufundisha vijana wengine awaachie mikoba au vijana wa sikuhizi wanawaza kutunisha mifuko yao kwanza?Huyo mzee ndio mwenye funguo ya milango ya ikulu.
Ni WNOR (Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais)Waziri wa nchi ofisi ya rais na utumishi was umma
Mwajuma Nasombe, alikutana wapi na huyu Babu mungu wa mbinguniš