Mnaomuulizia Mzee Mkuchika majibu yenu haya hapa

Mnaomuulizia Mzee Mkuchika majibu yenu haya hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ameonekana katika Tamasha la Yanga bungeni akipiga picha na Aziz Ki

Screenshot_2024-05-24-00-36-05-1.png
 
Huyo mzee ndio mwenye funguo ya milango ya ikulu.
Ana wajibu wa kufundisha vijana wengine awaachie mikoba au vijana wa sikuhizi wanawaza kutunisha mifuko yao kwanza?
 
Waziri wa nchi ofisi ya rais na utumishi was umma
 
Hamna anayemuulizia wewe ndio umemuona leo ulijua hayupo.
Mkuchika yupo daily newala na watu wake. Na yupo sana serikalini. Na kwenye media nadhani hata kwa membe aliongea.
 
Back
Top Bottom