Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Hicho kidemu kilikuwa kinasema kipindi kitaanza saa 10 kumbe ni saa 11 jioni

Sema nini wasafi wapunguze kukopi vipindi toka kwenye Radio nyingine halafu wanakuja na mikwara mingiiii kumbe hewa tu
𝙺𝚒𝚙𝚒𝚗𝚍 𝚔𝚒𝚗𝚊𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚜𝚊𝚊 10 𝚖𝚙𝚔 𝚜𝚊𝚊 1 𝚓𝚒𝚘𝚗, 𝚗𝚊 𝚔𝚒𝚙𝚒𝚗𝚍 𝚔𝚒𝚕𝚎 𝚌𝚑𝚊 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚎𝚣𝚘 𝚠𝚊𝚖𝚎𝚔𝚒𝚛𝚞𝚍𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚗𝚢𝚞𝚖𝚊 𝚔𝚒𝚗𝚊𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚜𝚊𝚊 1 𝚖𝚙𝚔 𝚜𝚊𝚊 2
 
Tangazo lao
Orest kawau anasema saa 11 hadi saa 1.

Which is which ?
 
Radio one ambao matangazo yao ya vifo huwa ya wachagga tu.
Halafu inakuwaje Radio one imepooza utafikiri underdog kwenye ulimwengu wa habari.
 
Hata Radio One nae alikopi.. chini ya jua hamna kipya, nikuchukua idea na kuifanya kuwa bora
 
Radio one ambao matangazo yao ya vifo huwa ya wachagga tu.
Halafu inakuwaje Radio one imepooza utafikiri underdog kwenye ulimwengu wa habari.
Ilipooza sababu walikuwa wanafanya kazi kwa mazoea,wakasahau kuongezea ubunifu kazi zao.

Dunia ya sasa mshindani wako anatafuta weakness yako akishaijua anaitumia hiyo hiyo kukumaliza.
 
Daah Seki sijui alipotelea wapi,hiki kichwa kipo vizuri tokea enzi za kipindi cha mambo hayo.
Mkuu huyo ndiye Sekion David, wa City sound enzi za Channel 5, akaja kuwa meneja wa akina Masanja enzi za Ze Comedy? Kama ni yeye mbona akabadirika sana.
 
Watoto wa Jana hawawezi jua hizo mambo
 
Mkuu huyo ndiye Sekion David, wa City sound enzi za Channel 5, akaja kuwa meneja wa akina Masanja enzi za Ze Comedy? Kama ni yeye mbona akabadirika sana.
Mwenyewe huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…