kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Orest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .
Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
Itakuwa clouds hata kutangaza matokeo kabla ya tume kutangaza, pia watakuwa wamekopi kutoka redio oneHamna Redio isiyo kopi,radio zote radio yao mama ni Radio One,80% ya redio zote wamekopi kutoka radio One sema wengine walikopi waka edit.
Ukija upande wa TV karibia TV zote hasa za vijana zimekopi vitu vingi kutoka EATV (Zamani ITV 2),so hamna kitu kipya chini ya jua siku hizi vitu vingi watu watu wanakopi na kuedit.
Huyo seki kumbe yupogoKikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.
Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.
View attachment 1556996
Umeniwahi swaliNi wagombea wa chama kipi?
Kwa sasa hayupo simsikii tenaOrest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .
Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
Si ndio amehamia Wasafi FM.Kwa sasa hayupo simsikii tena
Fact!!Baba levo atafika mbali coz sio mtu wa kujikweza Sana
kumbe ndo mana kila nikiweka magic nakutana na hawa watoto wa kubana pua wanasifu na kuabudu muda woteOrest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .
Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
Daah Seki sijui alipotelea wapi,hiki kichwa kipo vizuri tokea enzi za kipindi cha mambo hayo.
Hiyo Baba Levi akishinda Udiwani atatumikiaje mabwana wawili
Uber walikopi wapi ?Hata Radio One nae alikopi.. chini ya jua hamna kipya, nikuchukua idea na kuifanya kuwa bora
Kwani hapa tunajadiri nini ? Mbona unakurupuka kama una uharo ?Uber walikopi wapi ?
Netflix walikopi wapi ?
Naona mnatumia nguvu kubwa kuhalalisha ujinga.
Kukopi siyo mbaya ila ikiw too much ni ujinga.
Wewe Aristote hujasema hapo juu kuwa duniani hakuna jipya au ushaloweshwa huko nyuma ?Kwani hapa tunajadiri nini ? Mbona unakurupuka kama una uharo ?
Kenge sana wewe mama yako kanilowesha alipokuwa ana squirtWewe Aristote hujasema hapo juu kuwa duniani hakuna jipya au ushaloweshwa huko nyuma ?
Domo kawaharibu ninyi kayobo.Kenge sana wewe mama yako kanilowesha alipokuwa ana squirt
View attachment 1558078..
na bado nakuambia hakuna jipya chini ya dunia hii.. netflix ni idea ya Youtube.. imekuwa modified.. hakuna kitu kinakuja from 0..
Mie baba yako aisee.. acha dharau nitakupa laanaDomo kawaharibu ninyi kayobo.
mifano yako yote haina uhai.Uber walikopi wapi ?
Netflix walikopi wapi ?
Naona mnatumia nguvu kubwa kuhalalisha ujinga.
Kukopi siyo mbaya ila ikiw too much ni ujinga.
Diwani hana mshahara? Ningekuwekea hadi kiasi wanacholipwasifa kubwa ya kugombea udiwani ni kuwa na shughuli inayokuingizia kipato maana udiwani hauna mshahara