Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Hata mimi..
Orest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .

Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
 
Hamna Redio isiyo kopi,radio zote radio yao mama ni Radio One,80% ya redio zote wamekopi kutoka radio One sema wengine walikopi waka edit.

Ukija upande wa TV karibia TV zote hasa za vijana zimekopi vitu vingi kutoka EATV (Zamani ITV 2),so hamna kitu kipya chini ya jua siku hizi vitu vingi watu watu wanakopi na kuedit.
Itakuwa clouds hata kutangaza matokeo kabla ya tume kutangaza, pia watakuwa wamekopi kutoka redio one
 
Daah OK naye Katua usafini? Akiwa na Mary Edward, Salum Mkambala na Kibwana Dachi walitisha sana pale Magic!
 
Orest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .

Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
Kwa sasa hayupo simsikii tena
 
Orest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .

Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
kumbe ndo mana kila nikiweka magic nakutana na hawa watoto wa kubana pua wanasifu na kuabudu muda wote
 
Hata Radio One nae alikopi.. chini ya jua hamna kipya, nikuchukua idea na kuifanya kuwa bora
Uber walikopi wapi ?

Netflix walikopi wapi ?

Naona mnatumia nguvu kubwa kuhalalisha ujinga.
Kukopi siyo mbaya ila ikiw too much ni ujinga.
 
Uber walikopi wapi ?

Netflix walikopi wapi ?

Naona mnatumia nguvu kubwa kuhalalisha ujinga.
Kukopi siyo mbaya ila ikiw too much ni ujinga.
Kwani hapa tunajadiri nini ? Mbona unakurupuka kama una uharo ?
 
Wewe Aristote hujasema hapo juu kuwa duniani hakuna jipya au ushaloweshwa huko nyuma ?
Kenge sana wewe mama yako kanilowesha alipokuwa ana squirt
images.jpeg
..
na bado nakuambia hakuna jipya chini ya dunia hii.. netflix ni idea ya Youtube.. imekuwa modified.. hakuna kitu kinakuja from 0..
 
Back
Top Bottom