Kwani mdau huu uzi umeanza kuusoma page ipi!? Maana naona kama unamaanisha jamaa anaweza kufanya kazi katika kila kituo kwa wakati mmoja. Kama wale Lecturers wa vyuo ,asubuhi yuko IFM, jioni ana pindi CBE.Kwa sasa hayupo simsikii tena
YouTube nayo iligeza wapi!?Kenge sana wewe mama yako kanilowesha alipokuwa ana squirt
View attachment 1558078..
na bado nakuambia hakuna jipya chini ya dunia hii.. netflix ni idea ya Youtube.. imekuwa modified.. hakuna kitu kinakuja from 0..
Duu huyu seki sikumuona siku nyingi sana. Hii combo ni kama MUKOKO,FEISAL,HARUNA,KISINDA,FARID MUSSA NA SARPONG!!Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.
Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.
View attachment 1556996
Youtube haikuwa platform ya kwanza kwa kumbu kumbuku zangu, mwisho wa siku idea huzaa idea bora zaidi. Youtube online video. Ilitokea kwemye offline video..YouTube nayo iligeza wapi!?
Ndio yeye kawa mtu mzima sasaMkuu huyo ndiye Sekion David, wa City sound enzi za Channel 5, akaja kuwa meneja wa akina Masanja enzi za Ze Comedy? Kama ni yeye mbona akabadirika sana.
Kwani hakuwa akifanya kazi kwa bilionea Yusuph Mehboob Manji!?Duu huyu seki sikumuona siku nyingi sana. Hii combo ni kama MUKOKO,FEISAL,HARUNA,KISINDA,FARID MUSSA NA SARPONG!!
Utangazaji ni kazi ya kipuuzi siku hizi.Zembwela,Mpoki,Steve Nyerere,Baba Levo etc fikiria hapo utapata kitu gani cha maana.Baba levo atatangaza nn sas hapo au atakuwa anafanya utani
Unaikumbuka City sound?? Ilikuwa chanel 5,pia unaikumbuka ze comedy show.....??Daah Seki sijui alipotelea wapi,hiki kichwa kipo vizuri tokea enzi za kipindi cha mambo hayo.
Naikumbuka ila kipaji chake kilianza kuonekana kipindi anaigiza Mambo hayo na akina JB,Bishanga,Waridi baadaye ndipo akawa mtangazaji wa kipindi cha City Sound,then the comedy now mtangazaji Wasafi Fm.Unaikumbuka City sound?? Ilikuwa chanel 5,pia unaikumbuka ze comedy show.....??
Sory hapo kwenye title ok ndo inamaanisha orest kawau au?Kwani mdau huu uzi umeanza kuusoma page ipi!? Maana naona kama unamaanisha jamaa anaweza kufanya kazi katika kila kituo kwa wakati mmoja. Kama wale Lecturers wa vyuo ,asubuhi yuko IFM, jioni ana pindi CBE.
Soli mkuu hapo kawau ndio yupiOrest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .
Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
Hapo kawau ni yupiTangazo lao
Orest kawau anasema saa 11 hadi saa 1.
Which is which ?
Nadhani ila mimi naangaliaga ikiwa imezimwa ili nijione mimi naitumia kama kiooHivi kuna watu bado wanaangaliaga tv
Mery nae yuko wapiDaah OK naye Katua usafini? Akiwa na Mary Edward, Salum Mkambala na Kibwana Dachi walitisha sana pale Magic!
Kwenye picha ndio yupiSi ndio amehamia Wasafi FM.
kidunula1 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio kwamba Ni sawa na combination ya chama, bwalya na Bernardson?Duu huyu seki sikumuona siku nyingi sana. Hii combo ni kama MUKOKO,FEISAL,HARUNA,KISINDA,FARID MUSSA NA SARPONG!!