Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Kwa sasa hayupo simsikii tena
Kwani mdau huu uzi umeanza kuusoma page ipi!? Maana naona kama unamaanisha jamaa anaweza kufanya kazi katika kila kituo kwa wakati mmoja. Kama wale Lecturers wa vyuo ,asubuhi yuko IFM, jioni ana pindi CBE.
 
Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.

Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.

View attachment 1556996
Duu huyu seki sikumuona siku nyingi sana. Hii combo ni kama MUKOKO,FEISAL,HARUNA,KISINDA,FARID MUSSA NA SARPONG!!
 
YouTube nayo iligeza wapi!?
Youtube haikuwa platform ya kwanza kwa kumbu kumbuku zangu, mwisho wa siku idea huzaa idea bora zaidi. Youtube online video. Ilitokea kwemye offline video..
 
Mkuu huyo ndiye Sekion David, wa City sound enzi za Channel 5, akaja kuwa meneja wa akina Masanja enzi za Ze Comedy? Kama ni yeye mbona akabadirika sana.
Ndio yeye kawa mtu mzima sasa
 
Bwana Orest Kawau naona kaamua kuikimbia Radio yetu ya chama. Maana tangu itwaliwe na chama alipoteza kabisa uhuru wa kutangaza kwa nafasi. Kuimba mapambio sio kazi rahisi aisee. Ndege kachoropoka tunduni.
 
Duu huyu seki sikumuona siku nyingi sana. Hii combo ni kama MUKOKO,FEISAL,HARUNA,KISINDA,FARID MUSSA NA SARPONG!!
Kwani hakuwa akifanya kazi kwa bilionea Yusuph Mehboob Manji!?
 
Baba levo atatangaza nn sas hapo au atakuwa anafanya utani
Utangazaji ni kazi ya kipuuzi siku hizi.Zembwela,Mpoki,Steve Nyerere,Baba Levo etc fikiria hapo utapata kitu gani cha maana.
 
Unaikumbuka City sound?? Ilikuwa chanel 5,pia unaikumbuka ze comedy show.....??
Naikumbuka ila kipaji chake kilianza kuonekana kipindi anaigiza Mambo hayo na akina JB,Bishanga,Waridi baadaye ndipo akawa mtangazaji wa kipindi cha City Sound,then the comedy now mtangazaji Wasafi Fm.
 
Kwani mdau huu uzi umeanza kuusoma page ipi!? Maana naona kama unamaanisha jamaa anaweza kufanya kazi katika kila kituo kwa wakati mmoja. Kama wale Lecturers wa vyuo ,asubuhi yuko IFM, jioni ana pindi CBE.
Sory hapo kwenye title ok ndo inamaanisha orest kawau au?
Huenda nimekurupuk kumbe[emoji85]
 
Orest Kawau kwangu ndio Bora zaidi, jamaa Nilikuwa simkosi wakati akiwa Magic FM Ila toka itambulishwe ni mali ya CCM nikakata Sikio .

Hata watangazaji kujiamini kukapungua Sana.
Soli mkuu hapo kawau ndio yupi
 
Back
Top Bottom