Mnaonaje kuhusu hili developer?

Mnaonaje kuhusu hili developer?

joma53

Member
Joined
Feb 5, 2021
Posts
73
Reaction score
55
Hope mko poa!

Me nimewaza kitu kimoja.

(I'm not sure if someone else has already talking about that before).

kwamba kwa Nini software and Apps developer wa Tz tukutane na kujoin together.

then tuunde company ya ku build na kudevelop several types of softwares... maybe one-day tutaongezeka value Zaid international.
 
Kuna kundi la GDG Dar Es Salaam huwa wanakutana na kujadili mambo mbali mbali katika development. Unaweza jiunga kwenye website ya meetup na ukafatilia, watakapo kuwa na event nyingine unaweza jiunga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri sana. Kwa watu makini mnaweza kukutana kwa namna isiyo halisi. Mfano kupitia fb room na bado mkajadili na kila mtu akapewa Kazi ya kufanya ili kukamilisha mradi.
 
Back
Top Bottom