Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
By katiba ..but actual ikoje? Rais ana uhuru wa kuchukua ushauri kokote. Ai kwa vice tuMkuu, Katiba inasema VP ndiyo mshauri namba moja wa rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By katiba ..but actual ikoje? Rais ana uhuru wa kuchukua ushauri kokote. Ai kwa vice tuMkuu, Katiba inasema VP ndiyo mshauri namba moja wa rais.
Atachukuwa ushauri kokote lakini ndani ya wigo na maelekezo ya Katiba maana akichukuwa ushauri kinyume na maelekezo ya Katiba nani atakuwa answerable?By katiba ..but actual ikoje? Rais ana uhuru wa kuchukua ushauri kokote. Ai kwa vice tu
Nani anamuwajibisha rais?Atachukuwa ushauri kokote lakini ndani ya wigo na maelekezo ya Katiba maana akichukuwa ushauri kinyume na maelekezo ya Katiba nani atakuwa answerable?
Mkuu sorry, nilimaanisha hao watakaokuwa wamemshauri huko nje ya maelekezo ya Katiba ya nani anapaswa kumshauri, kwamba wakimshauri vibaya itakuwaje?Nani anamuwajibisha rais?
Namba moja anaweza kufanya afanyalo na katiba una mlinda. Mostly hatoshatkiwa.
So anaweza chukua popote na hato fanywa lolote. Maana katiba ina mlinda
Tunakwenda by the book wala si matakwa ya watu au kundi fulani. La msingi na maana zaidi ni kwamba wapiga kura ndiyo waamuzi wa muda wa kiongozi kukaa madarakaniNachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba.
Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?
Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
Ni kweli mkuu, ila wapiga kura nao wanategemea maelekezo ya Katiba kuhusu wanachopaswa kufanya.Tunakwenda by the book wala si matakwa ya watu au kundi fulani. La msingi na maana zaidi ni kwamba wapiga kura ndiyo waamuzi wa muda wa kiongozi kukaa madarakani
Kwa hiyo unasema kwamba Mkuu wa Majeshi ana security clearance ya juu kuliko Vice President, YES or NO ?Unayajua majukumu ya cdf?
Cdf hayuko juu ya rais lakin anawajibika kwa rais moja kwa moja bila kupitia kokote.
Yes vice ni mtu wa chin tu kama wazir mkuu na wengine. Rais anaweza order siri flan zisitoke.. nani ajue na nani asijue.
Could be. Yeye ni ana represent organ ya majeshi yote both military and palamilitary entities.Kwa hiyo unasema kwamba Mkuu wa Majeshi ana security clearance ya juu kuliko Vice President, YES or NO ?
Siri kubwa za nchi si lazima zihusishe majeshi tu. Wafanyakazi wa benki kuu wakisuka mpango wa kuchoma benki kuu majeshi hayahusiki wala hayatajua kabla ya Ikulu kupitia Usalama wa Taifa kitengo cha BOT.Could be. Yeye ni ana represent organ ya majeshi yote both military and palamilitary entities.
Anaweza kuwa nayo au asiwe nayo. But ita depend na situation itakayo kuwa inaendelea wakati huo
Kwa hisani ya watu wa asilimia 23Mama wa kambo
[emoji38][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]Kwa hisani ya watu wa asilimia 23