ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaHuku kwetu wenye mimba wanavaa la blue,asie bikra la khaki,mcharuko red,aliyewahi kuolewa before black!
Huku kwetu wenye mimba wanavaa la blue,asie bikra la khaki,mcharuko red,aliyewahi kuolewa before black!
What if hiyo bikira alionjeshwa bwana harusi ikiwa sehemu ya ku-seal contract?
Huku kwetu wenye mimba wanavaa la blue,asie bikra la khaki,mcharuko red,aliyewahi kuolewa before black!
Pamoja na yote hayo tukubali tu kiroho safi kua white inapendeza bana inamfanya bibi harusi anashine, habari za kuvaa rangi za kizee nani anataka??hata wale ambao dini inawataka kuvaa za rangi nyingine siku hizi nao wanavaa white unafanya mchezo?!
ni kweli anapendeza lakini lengo la hilo vazi linakuwa limevunjwa kwahiyo wahudhuriaji tunakuwa tumedanganywa.
Ni kweli hata mm nlishawahi muuliza mama yangu kwann tunavaa mashati ya shule meupe wakati huo niko primary akaniambia inamaanisha kwamba bado ni msafi hata ukifika A level bado unatakiwa kuwa msafi. Kwa sie wakristo tunapopata kipaimara tunavaa magauni meupe mm nikamuomba mama anishonee la rangi ya light either pink au blue ili niweze kulivaa hata siku nyingine kwenye sherehe kwani gauni jeupe linaonekana rasmi sana ukivaa kama hamna shuhuli maalum(harusi au kipaimara) watu wanakushangaa balaa akasema hapana hili gauni jeupe bado linaonesha wewe ni msafi so nikavaa gauni jeupe frm there nilitunza huo weupe na nilijiapiza kutoutoa au kuweka doa hadi niolewe. Nilifanikiwa kumaliza A level baada ya hapo lol nilizidiwa akili na maarifa doa likaingia kuanzia hapo hadi nilipofika chuo loooh!
sasa hapo nakushauri utakapo kuja kufunga ndoa usivae gauni nyeupe kwani doa lishaingia hapo.
hahahaa ndoa ni ya watu wawili tu,wahudhuriaji na mashabiki tu hata wakidanganywa hakuna mbaya..