Mnaonaje tukibadilisha............?

Mnaonaje tukibadilisha............?

Hivi nini huwa madhumuni ya honey moon?mi ninavyohisi honey moon huwa ni usiku maalum kwa wanandoa wapya kufaidi pamoja tendo ala ndoa baada ya kukaa kwa matamanio katika uchumba bila kukutana kimwili hadi wanapofunga ndoa,so usiku ule huwa ndo wanakata utepe.Sasa watu wameishi pamoja miaka 7 wameduuuu weee mpaka bac,afu wakifunga ndoa wanenda honey moon kufanya nn?pia unakuta mwanamke anamimba na amefunga ndoa then wanaenda honey moon;je hiyo ni sahihi?.
 
hapo anakuwa tayari amevunja utaratibu,inatakiwa ile kitu itolewe wakati tayari wameshingia kwenye ndoa,kuvaa nguo nyeupe inatoa ushahidi kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa mtoto wetu ni msafi na anakwenda kumtunuku bikira hiyo mume.
na mwanaume je utakuwa bikra bado ama ,
 
ni mazoea nadhani honey moon haina maana yoyote ,kama hawaja megana bado itakuwa na maana
 
hiyo ilitakiwa iwe zawadi ya ushindi kwa atakayechukua jumla,sas umewaachia kunguru wameambaaa nayo,unajua vile bwana atajisikia fahari na kukupenda zaidi endapi yeye ndie atakuwa amekivunja kikombe yeye mwenyewe,sasa vile unakuwa ile seal imeondolewa inaonyesh ulikuwa mpiga gemu mahiri so hata bwana anakuwa sio mwenye upendo mwingi......nataka kikombe nivunje mimi mwenyewe.......
hivi upendo ni kwenye kudoo tu ndo unadhihirisha sio ? asa vp upande wa bwana harusi ukute asha taste bucha kadha afu akazipiga chini akaamua kumuoa huyu mwali dah yani wanaume bana quite unfair people ,
 
Siku hizi mtu aweza vaa rangi yoyote. Inapendeza bi harusi anapokuwa tofauti na umati uliohudhuria, hivyo light colours na nguo lazima iiwe na muonekano tofauti na watu wengine, yaani lazima afunike watu wote na mara nyingi rangi WHITE ndiyo yenye uwezo huo au hata creme/ivory colours
 
kwa hiyo sisi tulio onjana tukitaka kuoana tuvae black coz tayari kwa bibi harusi kuna tundu? Alafu kwa nini mambo mengi ya kindoa yamekaa kumtazama mwanamke tu ok bibi arusi akiwa bikra avae white je kwa nin principle hii imemkalia kimya babu arusi?
 
we ushawavunjishia wangapi???, achen kutuonea bwana, yaan nyie kungonoka kabla ruksa, ikiwa sie kosa
sasa huyo mwanamke anaempa mwenzie zawad ya bikra huyo mwanaume ye anampa zawad gan???[
QUOTE=Nakapanya;4342975]hiyo ilitakiwa iwe zawadi ya ushindi kwa atakayechukua jumla,sas umewaachia kunguru wameambaaa nayo,unajua vile bwana atajisikia fahari na kukupenda zaidi endapi yeye ndie atakuwa amekivunja kikombe yeye mwenyewe,sasa vile unakuwa ile seal imeondolewa inaonyesh ulikuwa mpiga gemu mahiri so hata bwana anakuwa sio mwenye upendo mwingi......nataka kikombe nivunje mimi mwenyewe.......[/QUOTE]
 
hapo anakuwa tayari amevunja utaratibu,inatakiwa ile kitu itolewe wakati tayari wameshingia kwenye ndoa,kuvaa nguo nyeupe inatoa ushahidi kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa mtoto wetu ni msafi na anakwenda kumtunuku bikira hiyo mume.

Dah, aisee nawaonea huruma sana wanawake, unakuta mtoto wa watu kajituuunza eti amtunuku mumewe bikira kumbe mwenzie ni mteja wa TIGO, khaaaa, dhambi mara mbili!
 
mi l,yk post yako sanaaa, tunaonea hapa kha,
wanasahau[
wengi wameolewa na machenza ndoa wameshindwa kuzitunza, na wako kibao wa wameolewa na machungwa na ndoa zinashine balaaa,
halaf, hata makazn cku hz job experience inahusika tena kuanzia miaka mi3 hailalish una mavyet yako.......mpoooooooooooooooooooooo QUOTE=neylu;4344961]Huyo bwana, mi ndio nifanye kazi ya kumuwekea avunje? Yeye kwa nini nae asingeweka chake akivunje siku ya ndoa?? Hahahaaaaaa... Hiyo biashara kwangu haipo.. Wacha tuu wote tuonane wengi wa habari... Na ni huo umahiri wangu wa game ndio unaomfanya anioe... Upo hapo???[/QUOTE]
 
Tehe tehe Kujani nayo inamaanisha? Uoto wa asili ama? Tumechakachua maana ya rangi nyeupe. Wengine wanajifungulia kwenye kumbi tutawaitaje? Me nafikiri iendelee kuwa nyeupe hata kama naolewa mara ya kumi.
 
Mwanzoni nilikuwa najiuliza kwanini asilimia kubwa ya Mabibi harusi huvaa gauni jeupe na si vinginevyo?katika kutaka kujua hilo;nikawauliza baadhi ya watu na majibu yao yalifanana,walisema hivi;NGUO NYEUPE HUMMANISHA KWAMBA BI HARUSI BADO NI MSAFI/HANA DOA NABADO ANAO USICHANA WAKE (BIKIRA) AMBAYO NI ZAWADI KWA BWANA".Sasa hali ilivyo siku hizi watu hufunga ndoa wakishakuwa wamechakachuana na usichana unakuwa umeondoka,tena wengine hufunga ndoa wakati tayari wakiwa na watoo au wajawazito.Je kuna maana yeyote ya kuendelea kutumia gauni jeupe kwa tafsiri hiyo hapo juu?

Tufanye hivi, kama vile ambavyo ni lazima kupima HIV/AIDS before marriage, na upimaji bikira uhamasishwe before marriage tena kwa wote wawili, mke na mme. Kama wote si mabikira basi mwanamke avae nguo nyeupe LAKINI KIWE KIMINI na mwanaume avae JEANS, mwaonaje?
 
nshafunga ndoa mie nina miaka kadhaa sasa na watoto tele ninao ila siku nilipokuwa nafunga ndoa mama alirudi tena na ile theme yake ya usafi na nguo nyeupe akataka nivae gauni la cream ila mume wangu akakataa akasema vaa white tupendeze waifu basi ikawa hivo maybe kwenye annivessary ya miaka kadhaa hv ntavaa cream au pikn

hapo kwenye red sijakuelewa, unamaanisha bikn, piko, au pink?
 
we ushawavunjishia wangapi???, achen kutuonea bwana, yaan nyie kungonoka kabla ruksa, ikiwa sie kosa
sasa huyo mwanamke anaempa mwenzie zawad ya bikra huyo mwanaume ye anampa zawad gan?
utawajua tu wasio na bikra, ona wanavyotoka povu..... teh teh... teh.
 
Tufanye hivi, kama vile ambavyo ni lazima kupima HIV/AIDS before marriage, na upimaji bikira uhamasishwe before marriage tena kwa wote wawili, mke na mme. Kama wote si mabikira basi mwanamke avae nguo nyeupe LAKINI KIWE KIMINI na mwanaume avae JEANS, mwaonaje?

hiyo bikira itapimwaje?
 
Tehe tehe Kujani nayo inamaanisha? Uoto wa asili ama? Tumechakachua maana ya rangi nyeupe. Wengine wanajifungulia kwenye kumbi tutawaitaje? Me nafikiri iendelee kuwa nyeupe hata kama naolewa mara ya kumi.

so iwe kama fasheni na mazoea na sio kumaanisha kile kinachokusudiwa caroline?
 
Back
Top Bottom