Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
- Thread starter
- #41
Hivi nini huwa madhumuni ya honey moon?mi ninavyohisi honey moon huwa ni usiku maalum kwa wanandoa wapya kufaidi pamoja tendo ala ndoa baada ya kukaa kwa matamanio katika uchumba bila kukutana kimwili hadi wanapofunga ndoa,so usiku ule huwa ndo wanakata utepe.Sasa watu wameishi pamoja miaka 7 wameduuuu weee mpaka bac,afu wakifunga ndoa wanenda honey moon kufanya nn?pia unakuta mwanamke anamimba na amefunga ndoa then wanaenda honey moon;je hiyo ni sahihi?.