Mnaonaje tukibadilisha............?


Kwani nani kasema ni lazima kutumia gauni jeupe?
 

Hii ya CHIT-CHAT
 

kama jamaa si mtinduaji mzuri damu itatoka kweli hapo
 
Mi sipo kama hao nina matunzo mazuri especial nikipatiwa K safi huwa sina haja ya kwenda kuzurura huku na huko muulize nanihiiiiiii...................
 
Mi sipo kama hao nina matunzo mazuri especial nikipatiwa K safi huwa sina haja ya kwenda kuzurura huku na huko muulize nanihiiiiiii...................

Billie asa kama umefall na unataka K safi bac uiweke legally before the public yani mambo flani ya marriage certificate ukishamwoa si ndoo umemuwekea password ama , asa nyie men unamuwekea mtu password afu tena una log in kwa user mwingine sijui waga ni tamaa ama ndo kutaste bucha ipi inalipa dah yani
 
Me bado mdogo mambo ya wakubwa sichangii ng'o.
 
Najua nakapanya unamaanisha ile damu inayotoka siku akifanya hilo tendo kwa mara ya kwanza.Lakini kuna wengine zinatoka bila wao kujua kutokana na mazoezi makali au shughuli ngumu,sasa dada kama huyo tumweke kwenye kundi gani maana hajawahi kufanya tendo hilo kwenye maisha yake.
 
Mi nilivaa NJANO!!!!
 
Dahh basi we inaonyesha n Yanga damu, siku ya harusi yangu nikikosa nyeusi utaniazima!

Umejuaje? Dah unaona mbele sana wewe.....Mi zangu NJANO na Viatu vya Njano.......Harusi Hoyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…