Dear_me_
Member
- Dec 31, 2022
- 36
- 79
Siku sio nyingi katika ukurasa wa @scaniatanzania walitoa taarifa za kuhusu ujio mpya wa mabasi mapya ya mwendokasi.
Upande wangu mradi utakua mzuri kama mradi utafanyika bila kuwa na mkono wa pande yoyote serikali au viongozi
-kwa sasa Mabasi yatatengenezwa na scania(BRAND FROM USA), boarded by MARCOPOLO
-Muonekano wa mabasi unaridhisha
Swali linakuja….??
❌ Vioo vinatutosha kutoa na kuingiza hewa?
❌cooling system & engine bado zpo nyuma.?
❌wingi wa mabasi?
❌ Je? wataweza kuhimili kasi ya abiria maana kama magari yatakuja mazuri pia abaria wataongezeka.