Hii yangu mpaka ilipo imenitoka milioni 15.5
View attachment 2477591
Sema ukweli,acha unafki.Milioni 80 ni nyingi kwa kuandika lakini kwa mahesabu ya ujenzi (ghorofa) basi hapo ni size yake.
Hapo kuna jamvi la ground floor na jamvi la first floor, ring beams na columns (hesabu saruji na vyuma hapo)
Hujaweka cement na mazagazaga kwenye foundation.
Window grills tayari, halafu bado unapiga kelele ya 80?
umekusudia nini? Lete breakdown wewe basi tukuone umejenga kwa shilingi milioni tanoSema ukweli,acha unafki.
King Kong III na UshimenAkae anajua pia gorofa halina udogo!
kwenye ujenzi mil 80 tena wa gorofa siyo hela ya kukaa mtu unalialia.
Ndiyo maana watu hawajengi gorofa hovyo, siyo kwamba hawataki, ila bajeti inabana.
Mfano ukiwa na mil 50 unaweza kujenga nyumba ya kawaida na ukahamia (ila haijakamilika finishing zote).
Tukija kwenye gorofa mil 50 ni kama hela ya siment na nondo peke yake.
Ujenzi kwa simulizi ni changamoto aiseee...
Million 80 unaijua Lkn Nkuu?Milioni 80 ni nyingi kwa kuandika lakini kwa mahesabu ya ujenzi (ghorofa) basi hapo ni size yake.
Hapo kuna jamvi la ground floor na jamvi la first floor, ring beams na columns (hesabu saruji na vyuma hapo)
Hujaweka cement na mazagazaga kwenye foundation.
Window grills tayari, halafu bado unapiga kelele ya 80?
Naijua sana kijana, nilishajenga nyumba nne katika vipindi mbalimbali, moja ikiwa ghorofa.Million 80 unaijua Lkn Nkuu?
Acheni utani
Na cement mfuko 300,000/-Itakuwa tofali Moja 10,000
Kwa kuwa amejenga na mchanga uliotoka machimbo ya dhahabu basi hata hiyo 80m kajenga under priceNyie mnaongeza sifuri kwenye ujenzi mnatutoa sana kwenye reli hata pesa tunaishia kuhonga badala ya kujenga!
Kuja fundi alinitumia hii picha ya nyumba hapo chini na kuniambia hadi hapo ilipofikia imekula milioni 80,yaani nilitamani hata kumtia makofi!
Tuacheni tabia ya kuongeza sifuri kwenye ujenzi ili uonekane umejenga kwa milioni 200 kumbe umeongeza sifuri kwa mbele!
View attachment 2476704
Kweli hadi hapo ilipofikia ni milioni 80???[emoji276]