Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

Umekatendea haki
 

Haha zile sala itakuwa za kushukuru kukudaka kipofu.
 
Malaya wa mwanza wako poa sana
 
Wewe na The Monk ni Descent Human Beings. Bless your hearts. Your mommas, did a great job raising you. Naam, hivi ndivyo mtoto wa kiume unatakiwa kuwa....
 
Wewe na The Monk ni Descent Human Beings. Bless your hearts. Your mommas, did a great job raising you. Naam, hivi ndivyo mtoto wa kiume unatakiwa kuwa....

Ahsante mkuu, binafsi nna mapungufu yangu mengine mengi tu, wakati huohuo na wewe au wengine Wana vitu wapo vizuri na upungufu kwingine, Kwa ujumla tunafanya Dunia inakua kamilifu.

Pia ntakua mchoyo wa fadhila nisipotambua mchango wako hapa jukwaani na unavyotuelemisha wengi.

Endelea kudumisha upendo, na uzidi kufanikiwa Kwa mwaka 2023.
 
One thing you cannot do in this world is: You can't finesse a giver.

Hata siku moja huwezi kumtapeli au kumdhulumu mtu mwenye moyo wa kutoa. Watoaji huwa hawasubiri shukrani wala sifa za wanadamu, maana binadamu hawana shukrani. Wao hurudishiwa mara dufu na MUNGU mwenyewe.
 
Mkuu, nashukuru, Mungu ndiye mtoa vyote. Nimesoma hii michango yenu miwili, nimepata matumaini makubwa mno moyoni mwangu: Mungu bado ana wafuasi wengi waaminifu duniani ambao wanafanya dunia iwe sehemu salama.

Ubarikiwe sana mkuu, tuko pamoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…