Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Mkuu massage gani nielekeze ,You get what you pay for.
Kwa elfu kumi hiyo ndio huduma utapata.
Ungeenda massage na 70k ungepata experience tofauti sana
Halafu wale wa massage si wanakuwa kikazi , professionally , sasa unaanzaje kumvua yule,