DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ngombe hazeeki maini,Sema yule mzee mtu mzima niliemuona kwenye video hapo juu ananunua malaya kwa wahaya
Hapo ndio ujue wanaume hawazeeki [emoji16]
Mi kununua nmeacha wakuu,
Nmeamua kukomaa na michepuko yangu ya kudumu MITATU plus my wife
Nawahudumia Kisha Najilia wote bila wasiwasi[emoji4][emoji1431]
Sent using Jamii Forums mobile app