MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanafkihaha ndiyo nashangaa, anahonga 50k kwa week kwa demu alaf anasema 'hanunui'
demu huyo huyo anayemhonga 50k a week, ana account Tagged, papuchi iko sokoni kwa 40k usiku kucha, shwaini kabisa
anaye date, anaye honga, aliye ndoani wote wananunua/walinunua,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanafki
Hili jiji lina something for everyone.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] MKUU KUNA HAWA WANAOJIUZA 3000 TANDIKA
OkwiBoban nakuonaga mtu wa maana umeniangusha sana.Mwaka flani nikiwa Dodoma nikashikwa na nyege kali kutokana na baridi kali ya June. Nikauchek mchepuko unaojielewa ukabana. Nikachek marafiki wapenda pombe ili niwanyweshe niwakabili kimasihara, sikufanikiwa.
Mpaka kufikia saa 4 jitihada zikagonga mwamba. Nikakumbuka uzi wa Telegram JF. Nikasaka danga nikafanikiwa lakini roho haina raha kabisa kununua malaya.
Tukaanza ubishani na yule malaya. Nikamuomba atume picha nimtathmini akakataa, akasema kwani nina shida na uchi au sura! Hilo nikalimezea.
Ubishi wa pili ni sehemu ya tukio. Akasema short time ni elfu 10 lakini ana chumba chake hapo Makole. Nikamwambia siwezi kuja sina uhakika na usalama wangu. Akaniambia nisiwe na shaka mpaka usiku huu ameshahudumia wanne hapo room kwake. Daah wanaume wanne huo uchi si utakuwa umechakazwa sana. Akanitia kinyaa, nikamwambia poa nitakupigia. Sikumrudia tena.
Ikabidi niwacheki madalali maarufu wanitumia picha iwe mrembo anayeweza kuja lodge kwangu. Wao hawaitani malaya wanaitana mrembo au pisi. Akatuma,nikachagua mwembamba mwenye tako zuri. Yule demu akafika lakini hakuwa mzuri kama yule wa kwenye picha. Ingawa alikuwa yeye ila picha zilijaa editing. Huyu alikuwa kachakaa sana, sura haina nuru halafu kapiga mkorogo. Nikaingiwa aibu, nikajiuliza hivi hata dada wa mapokezi atanionaje?! Yaani chumba cha 40,000 naingia kitu kama kile.
Nikaona liwalo na liwe nitafumba macho,kikubwa nikojoe tu. Nikamtia ndani yule malaya. Ile anaingia tu akapigiwa simu na danga lingine. Akaliambia kuna kichwa hapa baada ya saa atakuja aandae hela ya kulala. Akanikata stimu. Ile nataka kumvua akakataa akaingia chooni akavua suruali na chupi akarudi chumbani bila kuvua tisheti. Nami nikaingia chooni kukojoa nikakuta chupi iliyofichwa kwenye suruani ni chafu na ina michaniko. Nikasema huyu ngoja nintafutie sababu aondoke, siwezi lala na demu kama huyu hata kama ni uzinzi.
Akanitaka nimpe kwanza hela yake elfu 10 ndio apande kitandani. Nikaona hapa hapa namletea ukorofi. Nikamkoromea unanikata stimu, nahitaji unitoe stress niinjoi mapema ila wewe unakuja na ubabe. Akaniambia hapo yupo kazini nifanye haraka kuna mtu anamsubiri.
Nikatoa elfu 10 nikamtaka atoke room kwangu simtaki tena. Akavaa akafungua mlango akatoka.
Nikamshukuru Mungu kwa kuniokoa na huo uchafu. Lakini jambo la msingi najiuliza, wale jamaa wanaonunua malaya wa mitandaoni au vichochoroni wana moyo gani. Hamsikii kinyaa? Mbona wale mademu wabovu sana.
Mapenzi yanataka romance, umlambe, akulambe, umnyonye shingo, maziwa, sikio. Umtikise matako (kama anayo lakini). Ukimaliza kugonga mkumbatiane. Sasa wale watoto wachafu mnafanyaje?
Mwenzenu humu alifanywa kitu kibaya Bambalaga. Pa kuwa napo makini pale sana,Bambalaga kuna malaya wabichi
Malaya ni malaya tuUkitaka vya bei chee ndo hapo utaambulia malaya wachafu kama huyo!
Mie jana mkesha wa mwaka mpya nilikuwa zangu Mwanza kuna kiwanja flani nimenunua malaya kadada flani kembamba wastani keupe yaani mtoto ni mbichi kabisa halafu msafi hana harufu hata kidogo utadhani hauzi mbususu
Yaani nimelala nako usiku kucha na nimeenjoy vizuri tu kama niko na mama watoto kuanzia romance, styles, na michezo kibao !
Asubuhi nimekaachia elfu hamsini nikaondoka nimechukua namba yake next time ntakatumia nauli kaje Dom tule maisha.
Mkuu tuungane. Hayo unayosema ndio yalikuwa maombi yangu leo kwenye ibada. Nimemuomba Mungu anisaidie 2023 sitaki uzinzi. Mkuu nilifikia hatua natenga bajeti ya kugonga mademu. Hii ni mbaya sanaMimi mwaka huu sitaongelea dhambi
Tizama sasa yamekuwa mapya mimi nimeamua kubadilika sitaki tena imetosha OKW BOBAN SUNZU ungana na mimi tutimize ndoto zetu miaka yaenda blood
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kama ni boss umepata mzee baba huyo ndio boss sasaUnajua nini mzee wa kupambania Wanaume wengi washawahi kununua humu wamejaa wanafiki [emoji16]. Mimi boss wangu safarini kikazi alishawahi ninunulia Malaya na yeye akanunua wakwake na ukimuona yupo serious kweli kweli ana mke mzuri na watoto wawili
Halafu utajuaje huyo demu unaye date nae hauzi maana wengine wanauza indirectly hapo mmepangwa wengi tu mnahudumia
Mkuu mimi nimeamua kuwa muwazi katika kujutia na kujisahihisha. Sileti hili kama jambo la kujivuniaOkwiBoban nakuonaga mtu wa maana umeniangusha sana.
Malaya wote 90% ni machokoraa wanaotafuta mkono uende kinywani tu.
Wamechoka wakachakaa na hawana akili. Ni wachafu na wamepinda balaa. Hawana hisia za mapenzi wengi ni walioumizwa kwenye familia, jamii, mahusiano au hata kwenye ndoa.
Kitu nilichojifunza kadiri unavyotumia pesa hasa kununua malaya.Mkuu tuungane. Hayo unayosema ndio yalikuwa maombi yangu leo kwenye ibada. Nimemuomba Mungu anisaidie 2023 sitaki uzinzi. Mkuu nilifikia hatua natenga bajeti ya kugonga mademu. Hii ni mbaya sana
Halafu malaya wa Dodoma ni waizi sanaDodoma ni tabu tupu na ukiwaingia peku lazima kesho asubuhi tu ukimbilie AZUMA.
Wamekutana na vingi mkuuNikienda Massage yule Mdada atanicheka kwakweli maana nahisi akinishika tu, ntakua nishaliachia KOJO.
mimi niachwe tu nijikande mwenyewe huko nyumbani.
Kwa style hii tutasubiri sana🤣🤣
Tutapata Katiba Mpya kweli?
Umefanya jambo zuri.Mkuu mimi nimeamua kuwa muwazi katika kujutia na kujisahihisha. Sileti hili kama jambo la kujivunia
Ila bajeti zako sasa🤣🤣Mkuu tuungane. Hayo unayosema ndio yalikuwa maombi yangu leo kwenye ibada. Nimemuomba Mungu anisaidie 2023 sitaki uzinzi. Mkuu nilifikia hatua natenga bajeti ya kugonga mademu. Hii ni mbaya sana