The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Mtihani Mkubwa kabisa Kwa Sasa unanikabili ni pale unapoenda kukata nywele. Wale wadada baada ya huduma kuanzia anapokuja kufunga kitaulo akuulize utafanya vitu Gani anataka akushike mabega alafu ghafla anakuita mpenzi...
Hapo ndio hua inabidi nimuulize, ukifanya scrub na hiyo dawa ya mmba unayolazimisha utapata kiasi gani? Akishataja namwambia Sasa hiyo pesa ntakupatia ila chukua maji ya moto, weka dettal Kisha nisafishe kichwa Kwa kitambaa, ntaenda kuoga nyumbani.
Wenye hizi Barber shop inabidi wajiongeze, sio Kila mtu anapenda kwenda hizo sehem anataka huduma ya ziada Tena Kwa stranger.
Huduma ya kuoshwa kichwa Kwa kitambaa ikiwezekana ifanyike hapo hapo unaponyolewa Tena na kinyozi wa kiume bila kuingizana huko chumbani na kushkanashkana masikio.