alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,163
Kwa kweli haya maisha yana mengi.Mwaka flani nikiwa Dodoma nikashikwa na nyege kali kutokana na baridi kali ya June. Nikauchek mchepuko unaojielewa ukabana. Nikachek marafiki wapenda pombe ili niwanyweshe niwakabili kimasihara, sikufanikiwa.
Mpaka kufikia saa 4 jitihada zikagonga mwamba. Nikakumbuka uzi wa Telegram JF. Nikasaka danga nikafanikiwa lakini roho haina raha kabisa kununua malaya.
Tukaanza ubishani na yule malaya. Nikamuomba atume picha nimtathmini akakataa, akasema kwani nina shida na uchi au sura! Hilo nikalimezea.
Ubishi wa pili ni sehemu ya tukio. Akasema short time ni elfu 10 lakini ana chumba chake hapo Makole. Nikamwambia siwezi kuja sina uhakika na usalama wangu. Akaniambia nisiwe na shaka mpaka usiku huu ameshahudumia wanne hapo room kwake. Daah wanaume wanne huo uchi si utakuwa umechakazwa sana. Akanitia kinyaa, nikamwambia poa nitakupigia. Sikumrudia tena.
Ikabidi niwacheki madalali maarufu wanitumia picha iwe mrembo anayeweza kuja lodge kwangu. Wao hawaitani malaya wanaitana mrembo au pisi. Akatuma,nikachagua mwembamba mwenye tako zuri. Yule demu akafika lakini hakuwa mzuri kama yule wa kwenye picha. Ingawa alikuwa yeye ila picha zilijaa editing. Huyu alikuwa kachakaa sana, sura haina nuru halafu kapiga mkorogo. Nikaingiwa aibu, nikajiuliza hivi hata dada wa mapokezi atanionaje?! Yaani chumba cha 40,000 naingia kitu kama kile.
Nikaona liwalo na liwe nitafumba macho,kikubwa nikojoe tu. Nikamtia ndani yule malaya. Ile anaingia tu akapigiwa simu na danga lingine. Akaliambia kuna kichwa hapa baada ya saa atakuja aandae hela ya kulala. Akanikata stimu. Ile nataka kumvua akakataa akaingia chooni akavua suruali na chupi akarudi chumbani bila kuvua tisheti. Nami nikaingia chooni kukojoa nikakuta chupi iliyofichwa kwenye suruani ni chafu na ina michaniko. Nikasema huyu ngoja nintafutie sababu aondoke, siwezi lala na demu kama huyu hata kama ni uzinzi.
Akanitaka nimpe kwanza hela yake elfu 10 ndio apande kitandani. Nikaona hapa hapa namletea ukorofi. Nikamkoromea unanikata stimu, nahitaji unitoe stress niinjoi mapema ila wewe unakuja na ubabe. Akaniambia hapo yupo kazini nifanye haraka kuna mtu anamsubiri.
Nikatoa elfu 10 nikamtaka atoke room kwangu simtaki tena. Akavaa akafungua mlango akatoka.
Nikamshukuru Mungu kwa kuniokoa na huo uchafu. Lakini jambo la msingi najiuliza, wale jamaa wanaonunua malaya wa mitandaoni au vichochoroni wana moyo gani. Hamsikii kinyaa? Mbona wale mademu wabovu sana.
Mapenzi yanataka romance, umlambe, akulambe, umnyonye shingo, maziwa, sikio. Umtikise matako (kama anayo lakini). Ukimaliza kugonga mkumbatiane. Sasa wale watoto wachafu mnafanyaje?
Kuna siku nilienda kulewa pombe na jamaa yangu.Sasa mahali hapo pa kunywa kukawa na demu mmoja anatuhudumia vinywaji, baada ya pombe kukolea nikamuelewa yule binti na tukakubaliana bei rasmi.
Misheni inaanza namlipia bei ya siku hiyo kumtoa hapo Bar maana mda haujafika wa kutoka, tunafika hadi home frxh kabla hatujaanza mchakatano ananambia nitulie kwanza tusali, duuh nikaona hii si dhihaka hii kwa Bwana. Kweli Akasali bana ndo tukapiga gem na baada ya gem akasali pia tukalala na hapo sote tumelewa. Usiku naamshwa tena tusali mie nikasema Mungu hadhihakiwi but yeye akasema ni mwingi wa rehema akasali akaendelea kulala tena.
Asabuhi Sasa naamka namtizama yule binti vizuri ndio najiridhisha jinsi alivyo na makovu ya mikorogo miguuni, usoni na mikononi. Duuh naomba nisitumie maneno makali hapa.
Toka hapo ndio nikaamini kua kweli pombe ni haramu na inapozuiwa ni sahihi tu. Maana wakati nimelewa yule binti niliona mrembo mnoo, lakini pombe ilipoisha nikaona ni tofauti na nilivyoona kabisa.
Anyway Mungu amekuwa mwema siku zote.