Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

Kuwa na Hela nyingi sio sababu ya kununua malaya

Wateja wa malaya asilimia kubwa ni watu wasio na hela za kumtunza mwanamke.

Maana kuishi na mke ama kummiliki mwanamke lazima uwe na kipato kilichonyooka
Watu wananunua malaya exotic laki hadi laki 2 ndio useme hana hela ya kutunza


Watu wanaenda Thailand tappaya kwa ajili ya utalii wa ngono hadi watanzania wenzako useme hawana hela ya kutunza wanawake


Sio kosa letu kama una upungufu wa nguvu za kiume [emoji16] au pesa huna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Naamini kwenye hii sekta nimeumaliza mwendo tena kwa mpango wa Mungu.

Iko hivi Krismas nilikula na family huko mkoani, nikarudi mjini ni kiwa na mipango lukuki ya kulewa na kampani yangu, then kutafuta mbususu ya kukesha nayo baada ya saa 6 mwaka mpya.

Siku tano kabla ya mwaka mpya nilikunywa sana pombe kali, kesho yake niliamka naumwa vibaya sana mpaka nikasema sijui kama nitauona mwaka maana mwaka mzima ukiacha homa za hapa na pale sijawahi kuumwa vile kiasi kwamba kunyanyuka kitandani shughuli, hospitali nikapewa sindano na dozi ya wiki mbili juu.

Kilichotokea mwaka mpya umenikuta kwenye dozi hivyo sikunywa pombe hata moja, mwili haukuwa na nguvu hivyo sikuchakata mbususu ya aina yoyote.

Ni kiwa peke yangu kwa bed nikatafakari sana nikaamini kuna jambo Mungu either alikuwa ananiepusha nalo au kuna kitu anataka nijifunze.

Nikajiapiza kama nilivyouanza mwaka bila pombe wala uzinzi basi mwaka utaisha hivyo hivyo. Namaliza wiki sijanywa pombe na sina kiu hata chembe, wakati zamani nilikuwa nikijisikia nafuu kidogo nakatiza dozi nikanywe konyagi, na kitu kingine nilichojifunza pombe ndiyo inatushawishi kutafuta malaya inaleta hamu za kishetani kabisa ambazo huwezi resist maana tangu nimeacha pombe sina hamu na malaya yoyote na nikikumbuka nlivyokuwa naruka nao najichukia mpaka najionea kinyaa. Kabla ya saa 6 usiku mwaka mpya nilifuta magroup yote telegram nikafuta na namba zote nilizosevu za malaya, kama nikupoteza muda yatosha kusema imetosha, kama nikupoteza hela imetosha.



I have to take back my power



Mwaka huu sigeuki nyuma kamwe Eeh Mungu nisaidie.
Hutoboi hadi mwezi wa pili...... hangover ikiisha,you will be back to your roots.
And one thing for sure,utajuta kufuta hizo contacts za vipozeo vyako.
 
Mwaka flani nikiwa Dodoma nikashikwa na nyege kali kutokana na baridi kali ya June. Nikauchek mchepuko unaojielewa ukabana. Nikachek marafiki wapenda pombe ili niwanyweshe niwakabili kimasihara, sikufanikiwa.

Mpaka kufikia saa 4 jitihada zikagonga mwamba. Nikakumbuka uzi wa Telegram JF. Nikasaka danga nikafanikiwa lakini roho haina raha kabisa kununua malaya.

Tukaanza ubishani na yule malaya. Nikamuomba atume picha nimtathmini akakataa, akasema kwani nina shida na uchi au sura! Hilo nikalimezea.

Ubishi wa pili ni sehemu ya tukio. Akasema short time ni elfu 10 lakini ana chumba chake hapo Makole. Nikamwambia siwezi kuja sina uhakika na usalama wangu.

Akaniambia nisiwe na shaka mpaka usiku huu ameshahudumia wanne hapo room kwake. Daah wanaume wanne huo uchi si utakuwa umechakazwa sana. Akanitia kinyaa, nikamwambia poa nitakupigia. Sikumrudia tena.

Ikabidi niwacheki madalali maarufu wanitumia picha iwe mrembo anayeweza kuja lodge kwangu. Wao hawaitani malaya wanaitana mrembo au pisi. Akatuma,nikachagua mwembamba mwenye tako zuri.

Yule demu akafika lakini hakuwa mzuri kama yule wa kwenye picha. Ingawa alikuwa yeye ila picha zilijaa editing. Huyu alikuwa kachakaa sana, sura haina nuru halafu kapiga mkorogo. Nikaingiwa aibu, nikajiuliza hivi hata dada wa mapokezi atanionaje?! Yaani chumba cha 40,000 naingia kitu kama kile.

Nikaona liwalo na liwe nitafumba macho,kikubwa nikojoe tu. Nikamtia ndani yule malaya. Ile anaingia tu akapigiwa simu na danga lingine. Akaliambia kuna kichwa hapa baada ya saa atakuja aandae hela ya kulala. Akanikata stimu.

Ile nataka kumvua akakataa akaingia chooni akavua suruali na chupi akarudi chumbani bila kuvua tisheti. Nami nikaingia chooni kukojoa nikakuta chupi iliyofichwa kwenye suruani ni chafu na ina michaniko. Nikasema huyu ngoja nintafutie sababu aondoke, siwezi lala na demu kama huyu hata kama ni uzinzi.

Akanitaka nimpe kwanza hela yake elfu 10 ndio apande kitandani. Nikaona hapa hapa namletea ukorofi. Nikamkoromea unanikata stimu, nahitaji unitoe stress niinjoi mapema ila wewe unakuja na ubabe. Akaniambia hapo yupo kazini nifanye haraka kuna mtu anamsubiri.

Nikatoa elfu 10 nikamtaka atoke room kwangu simtaki tena. Akavaa akafungua mlango akatoka.

Nikamshukuru Mungu kwa kuniokoa na huo uchafu. Lakini jambo la msingi najiuliza, wale jamaa wanaonunua malaya wa mitandaoni au vichochoroni wana moyo gani. Hamsikii kinyaa? Mbona wale mademu wabovu sana.

Mapenzi yanataka romance, umlambe, akulambe, umnyonye shingo, maziwa, sikio. Umtikise matako (kama anayo lakini). Ukimaliza kugonga mkumbatiane. Sasa wale watoto wachafu mnafanyaje?
Kweli mshukuru Mungu alokupa uwezo wa kujitambua hata pale unapokuwa na ugwadu!
Au niseme ni ugwadu ulikuwa haujakukamata sawasawa! Kama watu wanabaka hadi vikongwe sembuse huyo mrembo alojileta mwenyewe!!!?
 
Back
Top Bottom