Mnaoomba kesho Yanga SC ifungwe ili kubalansi kuchekana na Maumivu mtaumbuka kesho kwani Yanga SC anamfunga TP Mazembe

Mnaoomba kesho Yanga SC ifungwe ili kubalansi kuchekana na Maumivu mtaumbuka kesho kwani Yanga SC anamfunga TP Mazembe

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mtabinya (Tutabinya) mno Mbupu zetu Kesho ili TP Mazembe isifungwe na Yanga SC (Yanga SC ifungwe ) ili tusichekane lakini Ukweli ni kwamba Kesho Yanga SC anashinda Mechi yake kwa Mkapa au atatooa Suluhu au Sare ila hatofungwa ng'o.

Siku zote Dua la Kuku halimpati Mwewe. Mechi yako na Raja Casablanca FC imekushinda na Kufungwa Goli 3 kwa 0 nzuri kabisa bado unatamani na Mtani (aliye katika Ubora sasa kwa Kiwango) nae Kesho afungwe ili Jumatatu tuoneane Aibu na kwa Kufungwa Kwetu ila kwa Yanga SC halitoke Kamwe.
 
p_6832124121384522232757_0_5e7075bc9850341bc4dd7edf10dd5eca.jpg
 
Back
Top Bottom