Mnaopanda DalaDala au Mabasi ya Mikoani msishangae kuona Magari yenu yanasimamishwa mara kwa mara sababu Kubwa ni hii

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Viongozi wa Yanga na Kocha Wao Zahera huwa wanadhani huko kuna Wachezaji mpira hasa wale wa Kutoka nchini Rwanda wa ' bure bure ' ili waweze Kuwasajili kwa Msimu ujao ambapo kuna uwezekano hata Jina la Yanga likabadilika na kuwa Yanga Rwanda FC.

Na ili muone kuwa hawa Jamaa wanaingia ' Chaka ' kweli kweli huku ' Wakidanganywa ' na aliyekuwa Kocha mbovu na ' Mnafiki ' wa Simba SC Masoud Djuma kuwa Wachezaji ambao ' wamekurupuka ' Kuwasijili ni wazuri habari zilizofika katika Himaya ya GENTAMYCINE zinasema kuna hao Wachezaji wawili wa Kinyarwanda Papii na Mwenzake Bigirimana si Wachezaji Mpira bali Mmoja ni Mwanajeshi wa Jeshi la Waasi la Intarahamwe na mwigine ni Kondakta na Mpiga Kiwi maarufu mno pale Jijini Kigali.

Kwa akili zao Yanga na zilivyo mbovu usishangae pia Kuwasikia wamempelekea Fomu Rais wa Rwanda Paul Kagame ili wamsajili kwa Msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania. Na kinachowatesa Yanga na kuwasumbua Akili zao ni Viwango vya Wachezaji mahiri na Mafundi tupu wa Simba Raia wa Rwanda Haruna Niyonzima na Mohammed Kagere hivyo wanadhani kuwa na Wao wakisajili Wanyarwanda watupu basi nao watakuwa wanapanda Ndege mara kwa mara kwenda Nje ya Tanzania wakati kwa Msimu ujao wa Ligi Ndege watakuwa wanaisikia tu ila watahusika mno kwa Kupanda Treni kwenda Mikoani Kucheza Mechi zao za Ligi.

Nawasilisha.
 
Unasikitisha
 
Kabla hujavuta bangi hakikisha uwe umekula na kushiba MKUU

Sawa Mkuu nimekuelewa ila nauliza tu hapo Kwako au Mtaani Kwako hakuna Raia yoyote wa Rwanda ambaye ' yupo yupo ' zake tu ili niwaunganishe kwa Uongozi wa Yanga na Kocha Wao Zahera Mwinyi ili awajumuishe katika Kikosi chake cha Yanga Rwanda FC cha Msimu ujao wa Ligi?
 
Mpk Sasa Yanga imeleta Wanyarwanda wangapi!?? Kati ya hao 9 waliosinya mpaka Sasa!!! Wakifika wa3 andiko lako litapa uhalali kinyume na hapo utakuwa umejishushia HESHIMA kubwa sana humu ndani Mkuu
 
Mpk Sasa Yanga imeleta Wanyarwanda wangapi!?? Kati ya hao 9 waliosinya mpaka Sasa!!! Wakifika wa3 andiko lako litapa uhalali kinyume na hapo utakuwa umejishushia HESHIMA kubwa sana humu ndani Mkuu

Hivi kumbe Heshima ya Mtu huwa inapimwa kwa Utani wake kwa Watani zake Wakubwa Yanga FC? Nadhani Wewe utakuwa ni ' Popoma Mwandamizi ' kabisa. Hivi nisipowatania na kuwapiga ' Vijembe ' wana Yanga hapa Jamvini nitawapiga wapi? Nakuomba kama hujui Utani au huwezi Utani kaa mbali usije ukaamsha ' Mizimu ' yangu ya Kizanaki, Kimakuwa, Kitutsi na Kiyao na nikakujibu ' hovyo ' ukanichukia daima milele Amina sawa?
 
Dishi lisha yumba sasa chenga tupu kwenye TV.
 
Haitw
Haitwi Mohamed Kagere. Anaitwa Hemed " Meddy" Kagere... s. hole

Wewe upo Mwibara Bunda mambo ya Rwanda umeyajuaje? Eti mwanajeshi wa Interahamwe MAVI YAKO.

Hujui chochote kuhusu Rwanda. Shut up ur mouth before i shut it for u
 
kwani haruna niyonzima na kagere ni raia wa nchi gani?
 
Thinking capacity ya kuridhisha ni ngumu saaana kuipata aiseee..


Kazi tunayo saaana tanzania.. Kama ndio watu wanaotegemewa ndio hawa.
 
Unapaniki nini sasa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…